Binti mkubwa wa Dr Dre analala nje kwenye gari wakati baba yake ni billionaire

Mastaa wengine wanaowakataa ndugu zao ni Marah Carey ambaye ana utajiri wa usd million 500 hataki kumsaidia na kukutana na dada yake pekee. Mariah Carey ana donate nakuchangia mamillion ya pesa kwenye charities za kutunza mbwa.

Pia Madonna hadi kifo kilipomchukua kaka yake hajawahi kumsaidia nakumuacha alale nje homeless licha ya utajiri wa madonna sasa hivi kuelekea dolls billion 1.
Madonna hajafa yupo hai
 
Chako ni chako tu
Huwezi kutegemea au kujisifia ooh baba yangu tajiri Hell No
Pambana kivyako tu
Siamini kutegemea mtu hata siku moja na sijawahi kulala njaa wala kutegemea mtu zaidi ya Mungu
Tangu nimeondoka home hata sijafikisha 20 nimekuwa wa kujituma tu na kila leo maisha ni mazuri sana kwangu
Vijana pambaneni usisubiri baba afe au umtoe roho kisa kakunyima shamba
 
Mzuka wanajamvi.

Binti mkubwa wa Dr Dre Latanya Young 40 ni homeless analala nje kwenye Gari la kukodi ambalo pia analitumia kwa shughuli za food delivery.

View attachment 2903263

Dr Dre jina halisi Andre Romelle Young 59 rapper maarufu kutoka Marekani ambaye ana utajiri wa dollars za kimarekani billion moja hajawahi kuonana na kukutana uso kwa uso na binti yake huyo kwa muda wa miaka 20. Binti yake anasema hata namba yake ya simu haijui.


Single mother huyo mwenye watoto wanne Tatiyana 18, Rhiana 15, D'Andre 10 (jina la babu yake) na Jason 5 ni binti ya ex wa Dre Lisa Johnson ambaye aliachana na Dre Latanya akiwa na miaka mitano.

Tatiana anasema kwa kulia huwezi amini Dr Dre ni baba yangu na billionaire lakini naishi maisha magumu na ya kuunga unga na kulala nje.

Anasema anafanya kazi kwenye warehouse nakulipwa USD 15 kwa saa na pia kazi za food delivery uber eats na doordash.

LaTayna, mom of Tatiyana, 16, Rhiana, 13, D'Andre, eight, who is named after his grandfather, and Jason III, three, said: 'I've been working in a warehouse and doing Uber Eats and DoorDash.

Watoto wake wanaishi na marafiki haishi na yeye kwenye Gari.

'I'm taking odd jobs just to make it now - I got paid $15 an hour as an assembler at the warehouse.

'I'm trying to keep my head above water. I've been in debt for a while.'


Dr Dre hataki kabisa kuongea wala kumsikia binti yake huyo mkubwa eti kwasababu alimuongelea vibaya kwenye vyombo vya habari. Hata wajukuu zake hao wanne wameshangaa kwanini Babu yao hatakataa na hawajawahi kuonana naye.

Dr Dre alimlipa fidia Talaka mke wake mwengine 100 m usd Nicole young. Pia Dr Dre alitoa dollars million 7 cash ili atumbuize kwenye superbowl 2022.

Licha ya binti yake kuishi nje Dr dre anachangia sana mamilion ya dollars kwenye charities na mifuko mengine.
ngozi nyeusi hata iwe mahali gani kwenye hii dunia huwaga ni ya kifoo sana,wazungu wamalizane na didy waje kumfilisi na huyu mzee wa straight outta compton
 
Kuna vingi nyuma ya pazia ukitaka kupatana na mtu always online au kwenye vyombo vya habari sio sehemu sahihi, mimi ukikosana na mimi nitafute uongee na mimi ukimuingiza mtu wa tatu tu hata kama ni mzazi wangu siwezi kuelewana na wewe hata
Wewe uko kama mimi..yaani tukizinguana usijaribu kuongeza mtu wa tatu..aisee sitokusikiliza kbs
 
Kumbe issue kubwa kwenye ndoa ni kugawana mali tu.., aliona musu haimtoshi, kaamu kuvumilia kasubiri na sasa kapata 100% inayoenda kwa walatino wenzake..
Hapana yule mke wa Kobe kavumilia na kobe alimuoa akiwa 19. Kuna wakati akiwa na mimba ya binti yao wa mwisho aliyekuwa na Kobe, Kobe alikuwa anagonga nje sana hadi nusura ajiue kwa uchungu lakini akamvumilia.
 
Back
Top Bottom