Binadamu tumepewa vichwa kwa ajili ya kufikiri na sio kwa ajili ya kutunzia nywele tu!

Avanti

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
1,209
239
Usemi huu umenichekesha sana.

Kwa kuwa nilikuwa banned eti kwa kutoa lugha ya matusi basi nafarijika kurudi tena hewani, ila tu nimenyimwa sana nafasi ya kuchangia uozo alioufanya homomate wangu Kitila Mkumbo kwenda kumtukana bwana mdogo Mwigulu kule kwao.

Dr ukweli kakosea na hadhi (tena hivi juzi kapewa nafasi ya U-dean) yake hakupaswa kuanza kuingia kwenye ligi na Mwigulu ambaye anamzidi kwa kila kitu. Nilimwona juzi kwenye gazeti la Mwananchi akiwa mtulivu kweli kwenye benchi la mahakama ya Singida.

Ukweli wakati mwingine hata tukiwa tumemeelimika sana twapaswa kutumia vichwa vyetu kufikiri kwa urahisi tu na wala tusitumie vichwa vyetu kwa kutunzia nywele tu hadi kutuletekeza kutukana hata wale ambao tunawazidi kwa kila kitu.
 
hizo ndio akili za wanachadema wanatumia kichwa kufuga nywele badala ya kufikiri wanatusumbua sana huku mitaani, uelewa wao juu ya siasa ni mdogo sana.
 
Haahaahaaa! Naskia raaahaaa mie kama vile najikuna upele wa nanii
Hivi kuna kiongozi/mtawala/mheshimiwa duniani anayejua kutukana kwenye halaiki ya watu kama Mh. Mb. Kibajaji a.k.a Kichaa wa Kuzaliwa?
Chemba hajatukanwa, kaambiwa UKWELI. Chama cha Mwabepande hakitaki kuambiwa ukweli
Yeye ni MALAYA, MZINZI, MUASHERATI, MCHAFU kwani ni kweli alifumaniwa na mke wa mtu akifanya naye 'kampeni' ya Igunga kitandani..
Tusi hapo liko wapi?!
Magamba bana..
 
Avanti na mkigoma nawaomba muangalie video HII honestly.....its amazing Naibu spika alivyomsikiliza kwa makini Mwanasheria Mkuu wa serikali.......lol
 
Haahaahaaa! Naskia raaahaaa mie kama vile najikuna upele wa nanii
Hivi kuna kiongozi/mtawala/mheshimiwa duniani anayejua kutukana kwenye halaiki ya watu kama Mh. Mb. Kibajaji a.k.a Kichaa wa Kuzaliwa?
Chemba hajatukanwa, kaambiwa UKWELI. Chama cha Mwabepande hakitaki kuambiwa ukweli
Yeye ni MALAYA, MZINZI, MUASHERATI, MCHAFU kwani ni kweli alifumaniwa na mke wa mtu akifanya naye 'kampeni' ya Igunga kitandani..
Tusi hapo liko wapi?!
Magamba bana..

Du, mtu akilemewa na hoja bana!
 
Usemi huu umenichekesha sana. Kwa kuwa nilikuwa banned eti kwa kutoa lugha ya matusi basi nafarijika kurudi tena hewani, ila tu nimenyimwa sana nafasi ya kuchangia uozo alioufanya homomate wangu Kitila Mkumbo kwenda kumtukana bwana mdogo Mwigulu kule kwao. Dr ukweli kakosea na hadhi (tena hivi juzi kapewa nafasi ya U-dean) yake hakupaswa kuanza kuingia kwenye ligi na Mwigulu ambaye anamzidi kwa kila kitu. Nilimwona juzi kwenye gazeti la Mwananchi akiwa mtulivu kweli kwenye benchi la mahakama ya Singida. Ukweli wakati mwingine hata tukiwa tumemeelimika sana twapaswa kutumia vichwa vyetu kufikiri kwa urahisi tu na wala tusitumie vichwa vyetu kwa kutunzia nywele tu hadi kutuletekeza kutukana hata wale ambao tunawazidi kwa kila kitu.

Yaelekea ban ilikuathiri hadi huko uraiani mkuu. Kwa akili yako unaamini kuwa hao jamaa wa cdm walitukana? Think again
 
Upumbavu ni JANGA!

Seriously, mtu anafurahia matusi ya kilaza kama Werema. Tundu anaposemaga watu wanapeana ujaji kama zawadi unadhani anakosea?? Once upon a time Werema was a Judge....!
 
Hiyo kauli inawalenga zaidi viongozi wa ccm na wafuasi wao. Ndio maana sasa hivi wana-react kufuatana na ajenda za CHADEMA. Ila sasa hata reactions zenyewe zinakuwa sawa na sinema zilizokosa directors wazuri!
 
Upumbavu ni JANGA!

Seriously, mtu anafurahia matusi ya kilaza kama Werema. Tundu anaposemaga watu wanapeana ujaji kama zawadi unadhani anakosea?? Once upon a time Werema was a Judge....!

Tafuta CV ya Werema na Tundu Lusu uone. Yule Mkurya ni zaidi sana!
 
Haahaahaaa! Naskia raaahaaa mie kama vile najikuna upele wa nanii
Hivi kuna kiongozi/mtawala/mheshimiwa duniani anayejua kutukana kwenye halaiki ya watu kama Mh. Mb. Kibajaji a.k.a Kichaa wa Kuzaliwa?
Chemba hajatukanwa, kaambiwa UKWELI. Chama cha Mwabepande hakitaki kuambiwa ukweli
Yeye ni MALAYA, MZINZI, MUASHERATI, MCHAFU kwani ni kweli alifumaniwa na mke wa mtu akifanya naye 'kampeni' ya Igunga kitandani..
Tusi hapo liko wapi?!
Magamba bana..
Huyu kiongozi wa ngazi ya juu kabisa wa CDM anayetarajiwa kufunga ndoa na nyumba ndogo huku akimuacha mheshiwa diwani akihaha jinsi ya kuwatunza watoto tunamueka kundi gani? Mzinzi au mwasherati?
 
Upumbavu ni JANGA!

Seriously, mtu anafurahia matusi ya kilaza kama Werema. Tundu anaposemaga watu wanapeana ujaji kama zawadi unadhani anakosea?? Once upon a time Werema was a Judge....!

kweli nyani haoni nanihino lake. Huyu Tindu Lissu amesahau kuwa pande CDM wammepeana ulaji kiukoo? 3-SLAAs, 3-OWENYAs, 2-LISSUs , etc.
 
Haahaahaaa! Naskia raaahaaa mie kama vile najikuna upele wa nanii
Hivi kuna kiongozi/mtawala/mheshimiwa duniani anayejua kutukana kwenye halaiki ya watu kama Mh. Mb. Kibajaji a.k.a Kichaa wa Kuzaliwa?
Chemba hajatukanwa, kaambiwa UKWELI. Chama cha Mwabepande hakitaki kuambiwa ukweli
Yeye ni MALAYA, MZINZI, MUASHERATI, MCHAFU kwani ni kweli alifumaniwa na mke wa mtu akifanya naye 'kampeni' ya Igunga kitandani..
Tusi hapo liko wapi?!
Magamba bana..

Kwa hiyo wataka kusema Slaa nae ni kama Mwigulu ? kwani aliyo yafanya Mwigulu na Slaa ameyafanya. Tumia kichwa kufikiri na si kufuga nywele tu

hizo ndio akili za wanachadema wanatumia kichwa kufuga nywele badala ya kufikiri wanatusumbua sana huku mitaani, uelewa wao juu ya siasa ni mdogo sana.

teh teh kweli mfa maji haachi kutapatapa, wangekuwa vichwa vyao wanafugia nywele wangekuwa wakiwaumiza akili kila kukicha na kushindwa kulala? Hoja lukuki wanaziibua bungeni mnashindwa kukabiliana nazo mnatumia spika kuwanyamazisha kwa kweli mmepoteza dira na mwelekeo kwa ujumla
 
Haahaahaaa! Naskia raaahaaa mie kama vile najikuna upele wa nanii
Hivi kuna kiongozi/mtawala/mheshimiwa duniani anayejua kutukana kwenye halaiki ya watu kama Mh. Mb. Kibajaji a.k.a Kichaa wa Kuzaliwa?
Chemba hajatukanwa, kaambiwa UKWELI. Chama cha Mwabepande hakitaki kuambiwa ukweli
Yeye ni MALAYA, MZINZI, MUASHERATI, MCHAFU kwani ni kweli alifumaniwa na mke wa mtu akifanya naye 'kampeni' ya Igunga kitandani..
Tusi hapo liko wapi?!
Magamba bana..

Si unajua mambo ya ukweli unauma?
 
Hii kauli mnayomnukuu magamba Werema siyo ya kuishangilia hata kidogo.Jengeni hoja badala ya ushabiki,Tundu Lissu alipoomba mwongozo kisha kuungwa mkono na Mbunge wa ccm mh.Deo Filikunjombe kwamba wajadili hoja ya ajali ya meli iliyoua Watanzania ,Werema alicrash kwa matusi ya kuhusianisha nywele na kichwa , Ndugai kwa kupuuza roho za watu alimuunga mkono.Je , mnakumbuka kilichofuata baada ya pale...acheni upuuzi watu tumefiwa na ndgugu zetu.Inaniuma sana ninapokumbuka Mwanasheria Mkuu wa serikali kutoa kauli ile,mazingira yale na kwa hoja ile.CV yake haiendani na perfomance!
 
hizo ndio akili za wanachadema wanatumia kichwa kufuga nywele badala ya kufikiri wanatusumbua sana huku mitaani, uelewa wao juu ya siasa ni mdogo sana.

Yupi anauelewa ktk nyinyiemu ?labda Lusinde,Komba,Mr Dhaifu,Steven w,nape.
 
Zilete wewe mwenyewe mimi nitafute inahusu nini?

Unadhani uongozi ni CV au ni Function!

Ndio maana mnazidi kuwarubuni wananchi na ma CV ya kudesa tu!
Tafuta CV ya Werema na Tindu Lusu uone. Yule Mkurya ni zaidi sana!
 
Back
Top Bottom