Bill gates ndani ya Tanzania

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Wapendwa airport kunazidi kuendele kuwa na vituko vya mwaka ndege alijia mh bill gate
imekuwa ikilindwa na maaskari namtutu kama vile kuna dhahabu,,swali la kujiuliza kwa nini
kachagua kwenda mwanza ameerudi muda si mrefu na kuna askari watatuu wamekaa na mitutu yao
jamani toka saa nane wanaangalia jua
mungu ibariki tz
 
Karibu Gates
Utapambana na mgawo wa umeme, hata softwares zako hapa si effective sana sababu ya umeme.Sujui utaongea na mkulu kuhusu hili, asikufiche mwambie umesoma kupitia JF kuwa mgao ni mkali na hauna kikomo.Kama ni uwekezaji nenda Rwanda hapa kwetu noma mshikaji
 
mwanza kuna nini huko ??clinton songea huyu mwanza na yule nanii nai vile jama ayake kikwete nae alikuja akaenda mwanza
 
Wapendwa airport kunazidi kuendele kuwa na vituko vya mwaka ndege alijia mh bill gate
imekuwa ikilindwa na maaskari namtutu kama vile kuna dhahabu,,swali la kujiuliza kwa nini
kachagua kwenda mwanza ameerudi muda si mrefu na kuna askari watatuu wamekaa na mitutu yao
jamani toka saa nane wanaangalia jua
mungu ibariki tz

Na yeye amekuja shamba la kuvuna?
 
Wapendwa airport kunazidi kuendele kuwa na vituko vya mwaka ndege alijia mh bill gate
imekuwa ikilindwa na maaskari namtutu kama vile kuna dhahabu,,swali la kujiuliza kwa nini
kachagua kwenda mwanza ameerudi muda si mrefu na kuna askari watatuu wamekaa na mitutu yao
jamani toka saa nane wanaangalia jua
mungu ibariki tz

Pres J.M.Kikwete with Co-Chair of Bill & Melinda Gates Found Bill Gates in Dar e s Salaam June 29,2011

https://www.jamiiforums.com/photo.php?pid=499997&id=1592647395https://www.jamiiforums.com/photo.php?pid=499997&id=1592647395
 
Pres J.M.Kikwete with Co-Chair of Bill & Melinda Gates Found Bill Gates in Dar e s Salaam June 29,2011

Mhhhhhhhhhh
hapa kazi ipo

kesho tu mtasikia kuna mkataba tumeingie wa kuvuna wanyama na kuchimba madhahabu kwa kupewa misaada ya masoftware na macomputer used ktk shule zetu za kata na chuo kikuu UDOM

EEEE MUNGU

tusaidie huyu bana asiingie mkataba wowote ule wa kuimaliza nchi yetu

maana tumekuwa ni shamba la kuvuna bila kupanda
 
Kuna kitu zaidi ya kitu ...huyu bwana ameshakuja hapa zaidi ya hii ambayo imetangazwa .....na kuwa visible sijajua kuna nini hasa,
 
Mhhhhhhhhhh
hapa kazi ipo

kesho tu mtasikia kuna mkataba tumeingie wa kuvuna wanyama na kuchimba madhahabu kwa kupewa misaada ya masoftware na macomputer used ktk shule zetu za kata na chuo kikuu UDOM

EEEE MUNGU

tusaidie huyu bana asiingie mkataba wowote ule wa kuimaliza nchi yetu

maana tumekuwa ni shamba la kuvuna bila kupanda

Wasisahau kumueleza kuwa UDOM ni cha Gadafi asitie timu pale atafute chuo kingine
 
Nadhani tunakuza mambo bila sababu. Huyu ana foundation ambayo inajihusha na miradi mbalimbali ya afya. Inawezekana yuko nchini kukagua mradi inayofadhiliwa na foundation yake. Sio ulinzi wa ndege tu, analindwa popote aendapo. Kwa ufupi anapata presidential treatment.
 
wanaosoma geology wanajua mwanza kunaitwa green belt ambao upo juu ya dodoman belt,iyo green belt ni tajiri sana kwa madini mfano mzuri dhahabu katka kanda ya ziwa yote.nadhan madini ndo itakua kivutio.
 
Nadhani tunakuza mambo sababu. Huyu ana foundatio ambayo anajihusha na miradi mbalimbali ya afya. Inawezekana yuko nchini kukagua mradi inayofadhiliwa na foundation yake. Sio ulinzi wa ndege tu, analindwa popote aendapo. Kwa ufupi anapata presidential treatment.
mbele ya pesa utakuwa unajisaidia huku walinzi wapo nyuma.
 
Bill Gates sasa hivi hafanyi biashara tena. Hela zake zinazaa na hizo asilimia anazitumia kutoa misaada duniani.

Hata huko Microsoft kashajitoa na sanasana kabaki picha tu ya MS.

Ubabe wake wa kuuwa wapinzani wake kibiashara, ulikuja kumpa matatizo makubwa sana na walimbana hadi akalia. Walimbana na maswali kushoto na kulia na mwisho wakati wanamuuliza, hii barua ya kuwamaliza wapinzani wako nani aliandika? Jamaa huku machozi yakimtoka alisema kwa woga sana "siyo mimi, ni Computer......" Jamaa ilibidi tu wacheke saana. Haikusaidia kumpa nafuu zaidi ya kumpa dadika kadhaa akisubiri maswali zaidi.

Sasa hivi ukimuona sehemu, basi jua anagawa tu hayo Mabilioni yake aliyonayo na wakati huo, watoto tayari wana ya kwao na hawahitaji za baba.
 
hil faili hapo chini linafanya nini.....au ikulu hakuna meza.....inaelekea wanajaribu kuwashawishi bunge wapitishe zile billioni kumi chap chap
 
Nadhani tunakuza mambo bila sababu. Huyu ana foundation ambayo inajihusha na miradi mbalimbali ya afya. Inawezekana yuko nchini kukagua mradi inayofadhiliwa na foundation yake. Sio ulinzi wa ndege tu, analindwa popote aendapo. Kwa ufupi anapata presidential treatment.

hatukuzi mambo
tunasema haya kutokana na mambo mengi yaliyotokea baada ya watu wakubwa wenye pesa zao kuitembelea TZ

kwa mfano
Raisi Bushi-kigamboni
mama clintoni-mkataba symbion power
ndege ya jeshi -wanyama KIA
Bill gate-tutajuwa akiondoka
 
hil faili hapo chini linafanya nini.....au ikulu hakuna meza.....inaelekea wanajaribu kuwashawishi bunge wapitishe zile billioni kumi chap chap

Naona mkuu wa kaya amekaa kwa adabu kuliko alivyokaa na Clinton wakati uleeee. Kweli pesa ni pesa!
 
Wazungu wanajivunia kwamba,"huwa wanakuja Tanzania na passport tu,ila wakirudi kwao ni mabilionare"
tz shamba la bibi!!
 
Back
Top Bottom