Bila vimini siwezi tembea-irene uwoya aka chawote

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Irine Uwoya agoma kuacha vimini
4753.jpg
Irine UwoyaMWANDISHI WETU
IRINE Uwoya amesema hawezi kuacha kuvaa nguo fupi kwavile amezoea kufanya hivyo na hajaanza baada ya kuwa staa wa filamu.

Msanii huyo, ambaye ni miongoni mwa mastaa wanaofanya vizuri kwenye filamu za Tanzania amekwenda mbali zaidi na kusema haoni tatizo lolote la uvaaji wake, ambao baadhi ya watu wamekuwa wakidai hauendani na maadili.

Uwoya, ambaye ameigiza filamu kama 'Hazard', 'One Blood', 'Mid Night', 'Peace of Mind', 'Tanzanite', 'Kalunde' na 'The Dream'.
"Kusema kweli nimezoea kuvaa nguo fupi, ni kitu ambacho nimeanza muda mrefu, nafurahia wala sioni kama kuna athari kwa mtu mwingine,"anasema katika mahojiano maalum na kituo kimoja cha televisheni cha Dar es Salaam wiki hii.

"Ni mavazi yangu ambayo nimevaa kipindi kirefu na wala sifanyi hivyo kwavile ni staa, nimezoea ndio maisha yangu,"anasisitiza msanii huyo ambaye aliwahi kukiri kuwa mumewe Hamad Ndikumana, ambaye ni mwanasoka alimuona kwa mara ya kwanza kwenye filamu ya 'Oprah' ndiyo akaanza kumfuatilia.

Kuhusu dau analolipwa msanii huyo alisema kuwa; "Siwezi kusema kuna dau ambalo ni maalum, au kwamba siwezi kuigiza filamu labda mpaka nipewe milioni kadhaa.

"Haya mambo yanazingatia vitu vingi kwanza unaigiza kama nani nikimaanisha ule uhusika unaouvaa halafu unaigiza filamu ya aina gani na ina maudhui gani.

"Unaweza ukalipwa fedha nyingi ukaigiza filamu moja ikawa mbovu na ikakupoteza kabisa na kukuharibia soko, lakini tayari ulishapewa fedha. Ndio maana nasema fedha si kila kitu ni makubaliano baina ya msanii na maprodyuza husika.

"Lakini nikiigiza kama mhusika mkuu dau linakuwa kubwa na mara nyingi sipendi kuweka fedha mbele naangalia na kazi ninayofanya jamii itakubali vipi na itafaidikaje,"anasisitiza msanii huyo mwenye sura ya mvuto.

Msanii huyo ambaye mumewe anachezea klabu ya Daraja la Kwanza ya A. E. Lemesos ya Cyprus alifunga ndoa mwaka jana kwenye Kanisa la St. Joseph jijini Dar es Salaam na ni mtoto wa kwanza wa familia ya Naima Mrisho na Pacras Uwoya.

Uwoya alizaliwa Desemba 18, 1988 mjini Dodoma, na kuanza elimu ya msingi katika Shule ya Mlimwa na akiwa darasa la tatu alihamia Shule ya Msingi Bunge ya Dar es Salaam alikomalizia elimu yake hiyo na sekondari.

Alisoma Shule ya Greenville ya Kampala, Uganda na mwaka 2006 alitwaa taji la urembo la kitongoji cha Chang?ombe jijini Dar es Salaam na kushiriki Miss Temeke, alikoibuka nafasi ya pili ambayo ilimpa tiketi ya kushiriki Miss Tanzania na kuishia nafasi ya tano.
 
Kama tungewekewa vidubwash vya kurekodi we ni wangapi sasa unapita hapa nahisi wanaume wengi wangeacha ngono..unaingiza nanii kama hii unakuta ina read ur no 717
loh mungu tusaidie
 
Kama tungewekewa vidubwash vya kurekodi we ni wangapi sasa unapita hapa nahisi wanaume wengi wangeacha ngono..unaingiza nanii kama hii unakuta ina read ur no 717
loh mungu tusaidie

Pdidy una uhakika na haya unayosema ? me nashindwa kuelewa
 
pdidy una uhakika na haya unayosema ? Me nashindwa kuelewa

fl1 nahisi ngumu kunielewa
nimesema wish zingekuwa zinarekodi unafka nanii kama hii unakuta wewe namba kadhaa lazima ukimbie na si ya irene..tofautisha kama na ya

ahsante

Yaani huyu ana miaka 22 tu lakini rekodi aliyoweka utafikiri m-mama wa miaka 45! hivi huyu hakuwepo kwenye ile list ya LIUMBA aka the killer?
 
Yaani huyu ana miaka 22 tu lakini rekodi aliyoweka utafikiri m-mama wa miaka 45! hivi huyu hakuwepo kwenye ile list ya LIUMBA aka the killer?

mmhh subiri atoke jela tutamuuliza ""KIDUME CHA MBEGU""KILICHOJALIWA....
 
Yaani huyu ana miaka 22 tu lakini rekodi aliyoweka utafikiri m-mama wa miaka 45!

wakati mwingine najiuliza ilikuwaje katauti amfanye kuwa mkewe aka mama wa watoto wake. some people in this life it is as if they wameumbwa kutokuwa na mume au mke. she is pathetic. she doesn't deserve kuwa mke wa mtu
 
maneno mazito haya labda hakuwa tayari kuwa mke alifanya kama mchezo wa kuigiza
 
wakati mwingine najiuliza ilikuwaje katauti amfanye kuwa mkewe aka mama wa watoto wake. Some people in this life it is as if they wameumbwa kutokuwa na mume au mke. She is pathetic. She doesn't deserve kuwa mke wa mtu

nakubaliana nawe...wapo wanawake waloumba "kutufurahisha wanaume" na wapo wanaume "waloumbwa kuwafurahisha wanawake"...sasa ikitokea umekosea ukaoa/kuolewa na wa aina hiyo...ur fucked big tyme babyyy
 
fl1 nahisi ngumu kunielewa
nimesema wish zingekuwa zinarekodi unafka nanii kama hii unakuta wewe namba kadhaa lazima ukimbie na si ya irene..tofautisha kama na ya

ahsante

mkuu umesomeka vya kutosha huna haja ya kurudia kama hakuelewi bc
 
wakati mwingine najiuliza ilikuwaje katauti amfanye kuwa mkewe aka mama wa watoto wake. some people in this life it is as if they wameumbwa kutokuwa na mume au mke. she is pathetic. she doesn't deserve kuwa mke wa mtu
mkuu ze same tu midume

kuna midume mingine iimeumbwa kutooakuwa na wake kabisa maishan kama huamini nenda hizi bar za machangudoa utakuta jamaa ziko na matai zao zimezunguka meza utahisi anakuja rais.zinanukia pafyuum za bei mbaya ....kila siku ziko hapo zikipta zile chagudoa kwao mshipa wa aibu awakuzaliwa nao zinaita kama chizi na zikichuniwa zinanyanyuka na kuzifwata fasta...so si madada tu na mijianaume nayo embu kama una picha za mijianaume ya jinsi hii tuletee hapa tuendelezee &*****
 
mod hii avator t
avatar20380_7.gif
usaidie kidogo kabla atujamjumuisha kijana kweye list
 
wakati mwingine najiuliza ilikuwaje katauti amfanye kuwa mkewe aka mama wa watoto wake. some people in this life it is as if they wameumbwa kutokuwa na mume au mke. she is pathetic. she doesn't deserve kuwa mke wa mtu

lord have mercy!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom