Hii maneno imetamkwa na dada mmoja wa kihaya aliyeajiriwa karibuni
ktk ofisi ya serikali, wilaya moja mkoani Manyara. Ajabu kayatamka
haya maneno mbele ya wanaume watumishi wenzake wakati akipata
chai kwenye mgahawa mmoja. Vidume wakataka kujua jeuri ya
hii maneno inatoka wapi haswa ukizingatia kuwa mshara wake
ni TGS D-watumishi wa umma mnaweza mkajua hako ka-salary
kalikompa hiyo jeuri.
Hadi sasa, list kama ya watumishi 6 (wa idara ya uhasibu) tayari
wameshampanda. Uzuri ni kwamba kauli sasa imegeuka na
kuwa 'aaaggrr wanaume wa hapa wote ni washenzi tu'.
Kwa mshahara wa TGS D, wengi tulikuwa tukijiuliza 'tuone ataishije' mjini
hasa kutokana na jeuri yake aloionyesha kwa wanaume.
Ujanja waloutumia wanaume walompanda, ni kuchelewesha malipo
ya madai yake kila alipoyaleta na kuhakikisha muda wote haendi safari
za nje kikazi kwa muda kama wa miezi 6. Alipokuwa akilalamika njaa,
ndipo wakware walipotuma maombi na kukubaliwa kiurahisi. Mbaya
zaidi kila mwanaume alipokuwa akienda 'kumla uroda' alihakikisha anawaambia
wanaume wenzake waje kwenye Guest husika ili wakati wanatoka
hao washikaji wawashuhudie.
My take:Kina dada warembo, chungeni sana kauli za kujisifia mbele za wanaume
Wanaume wana njia nyingi sana za kuweza kukupotezea heshima mbele
ya jamii.
See....stupidity to the maximum!!! Wanaume mia mwagombea penzi la mdada mmoja mpaka mwafikia kukusanya akili zenu ili mumnyasenyase kwa kumnyongea safari za nje......hiyo ni AKILI MATOPE?? Alafu kwa kufanya hivyo mnafaidika nini hata mjisifie? Na nyie mmeacha kabisa wake nyumbani/wapenzi eti mwaenda kazini.........ptuuuuuuuu...kichefuchefu!!!!!
Ningekuwa na uwezo ningeipiga maruruku hii biashara.Lakini bahati mbaya biashara hii ndio biashara ya zamani kushinda biashara zote,kinachobadilika hapa ni jinsi tu muuzaji anavyokuwa mbunifu wa kutangaza biashara yake bila ya mnunuzi kuelewa,maana kwa situation hiyo ni wazi kabisa mshindi ni huyo dada aliyeweza kuvutia wateja bila ya wateja kujua kuwa walikuwa wakitangaziwa biashara.Next time akitokea wa hivyo muwe makini na msisahau kujikinga,hamjui huko alikokuwa aliwarubuni wangapi kwa njia hiyo.
Hii maneno imetamkwa na dada mmoja wa kihaya aliyeajiriwa karibuni
ktk ofisi ya serikali, wilaya moja mkoani Manyara. Ajabu kayatamka
haya maneno mbele ya wanaume watumishi wenzake wakati akipata
chai kwenye mgahawa mmoja. Vidume wakataka kujua jeuri ya
hii maneno inatoka wapi haswa ukizingatia kuwa mshara wake
ni TGS D-watumishi wa umma mnaweza mkajua hako ka-salary
kalikompa hiyo jeuri.
Hadi sasa, list kama ya watumishi 6 (wa idara ya uhasibu) tayari
wameshampanda. Uzuri ni kwamba kauli sasa imegeuka na
kuwa 'aaaggrr wanaume wa hapa wote ni washenzi tu'.
Kwa mshahara wa TGS D, wengi tulikuwa tukijiuliza 'tuone ataishije' mjini
hasa kutokana na jeuri yake aloionyesha kwa wanaume.
Ujanja waloutumia wanaume walompanda, ni kuchelewesha malipo
ya madai yake kila alipoyaleta na kuhakikisha muda wote haendi safari
za nje kikazi kwa muda kama wa miezi 6. Alipokuwa akilalamika njaa,
ndipo wakware walipotuma maombi na kukubaliwa kiurahisi. Mbaya
zaidi kila mwanaume alipokuwa akienda 'kumla uroda' alihakikisha anawaambia
wanaume wenzake waje kwenye Guest husika ili wakati wanatoka
hao washikaji wawashuhudie.
My take:Kina dada warembo, chungeni sana kauli za kujisifia mbele za wanaume
Wanaume wana njia nyingi sana za kuweza kukupotezea heshima mbele
ya jamii.
halafu unatuwekea thread hapa kwa kujisifia kwa upuuzi mliofanya... mlipata nini after that...! mbona wako wanaume kutwa kujisifia kwa upumbavu wakati hawana lolote, mbona sie tusiwafanyizie...
ndyoko .............Kaka ina maana hata wewe ulimega......................?
Unadhani itakuwa ni tukio la kwanza kupelekwa mahakamani ndugu!