Bila Manji Yanga inawezekana!

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375

Manji kujiuzulu Yanga?
tetesi zilizozagaa zinasema huyu mdosi kajiuzulu ufadhili yanga..wachambuzi wa mambo wanaona ni janja ya nyani,ataorganise group iandamane kudai arudishwe na kuonyesha kwamba anapendwa sana.
wanayanga jiulizeni kwani bila Manji Yanga haiwezekani?
 
Sio Manji tu ni wakati muafaka kwa Nchunga,Mosha na uongozi wote kujiuzulu ,sijaona walichofanya zaidi ya kuleta migogoro tangu waingie madarakani
 
Sio Manji tu ni wakati muafaka kwa Nchunga,Mosha na uongozi wote kujiuzulu ,sijaona walichofanya zaidi ya kuleta migogoro tangu waingie madarakani
Mosha ni ngumi kwa kwenda mbele kila kukicha...nadhani he is behind Manji
Mwalusako kaajiriwa Quality group..bas tab tup
 
Manji anatumiwa na hayupo peke yake, kuna wakubwa mgongoni mwake.
TAKE IT.
 
Sio Manji tu ni wakati muafaka kwa Nchunga,Mosha na uongozi wote kujiuzulu ,sijaona walichofanya zaidi ya kuleta migogoro tangu waingie madarakani
Mkuu umefatilia sakata lenyewe lakini?...je huoni anachokifanya Mchunga?, Mimi siyo Yanga ila madai ya Mchunga ninayaunga mkono kwa 100%...wachezaji wamesajiliwa kwa mil 2 lakini kwa mfadhili ni mil 8, huu si wizi wa wazi wazi, wanaambiwa wafanye mahesabu wanaanza majungu ohh anaingawa timu aondoke, sakata la mchunga nalifananisha na kilichomkuta Michael Wambura alipo kuwa mwenyekiti wa muda pale Simba walimfanyia fitina pale tu alipoanza kuhoji mali za Simba na kuanza kuzifatilia mikataba yote inayohusu mali za Club, Friends of simba walimsakama na walifanikiwa kumuondoa...
 
wamerogwa hawa huyo ndio bwana wao anaelipa mishara wakimwondoa tunarudi na nchunga na wachezaji wake mosha na wake wakiamua kutufungisha moto jangwan..hii ya kila mchezaji mbaaya sana
 
Walikuwepo kama yeye na wakaiacha yanga. Bila yeye inawezekana kabisa!
Manji kapata umarufu kupitia yanaga alikuwa nani before kujiattach na yanga.
Aishukuru yanga kumfikisha hapo.
 
Mkuu umefatilia sakata lenyewe lakini?...je huoni anachokifanya Mchunga?, Mimi siyo Yanga ila madai ya Mchunga ninayaunga mkono kwa 100%...wachezaji wamesajiliwa kwa mil 2 lakini kwa mfadhili ni mil 8, huu si wizi wa wazi wazi, wanaambiwa wafanye mahesabu wanaanza majungu ohh anaingawa timu aondoke, sakata la mchunga nalifananisha na kilichomkuta Michael Wambura alipo kuwa mwenyekiti wa muda pale Simba walimfanyia fitina pale tu alipoanza kuhoji mali za Simba na kuanza kuzifatilia mikataba yote inayohusu mali za Club, Friends of simba walimsakama na walifanikiwa kumuondoa...
Walichoniboa wameikuta timu iko vizuri,wakagombana na kocha mpaka ameondoka kaikati ya msimu kama Papic ndio alikuwa anaotoa hela kusajili wachezaji,viongozi wa Simba na Yanga hakuna wanalofanya zaidi ya kutengeneza network ili mambo yao yawe sawa.Huyu Manji anadhani kutoa fedha ndio suluhisho ,anakurupuka kutoa hela na anasahau kuweka usimamizi wa fedha ,wabongo kwenye fedha ni balaa amuulize mwenzie Kajumulo
 
Kuna wanachama tayari wameanza kusema bila Manji hakuna yanga...according to chanel ten habari!
 
na hasa kipindi hiki ambacho Yanga inafanya vibaya atawapata sana
Kweli bila manji yanga inawezekana ni wajibu wa viongozi kuwa na muongozo wa wafadhili wanaolenga kuifanya yanga kujitegemea sio kuifanya koloni na kijiwe cha kujisafisha na kuzoa umaarufu kwa wananchi by the way gadi oneya are you shycomist?good day.
 
Kweli kabisa, namna walivyokuwa wanamsifia Manji wanaonekana kabisa wamenunuliwa!
wapo wakina mosha pale wanawaongoza hao fuata upepo
nasikia kamati ya utendaji wengine ni simba
na kama ni kweli basi mwaka huu tena wana msimbazi ubingwa wetu kilaini
 
Back
Top Bottom