zoezi la sensa linalotakiwa kufanyika hivi karibuni ni sehemu ya ukosefu wa mipango thabiti, kwani tungeweza kulijumuisha zoezi la sensa ndani ya zoezi la utoaji wa vitambulisho na kuokoa zaidi ya bil 119, kama ukiweza kutoa vitambulisho kwa taifa zima , je si ni sawa na kuendesha sensa pia? .vitambulisho kutumia zidi ya bilioni 300 na sensa kutumia zaidi ya bilion 119 kwa taifa masikini si ni vema tukapunguza matumizi kwa kuyajumuisha mazoezi yote mawili pamoja.