Bigirita uko wapi laazizi?

NAdhani ukiongeza adhabu, zingine zitamaanisha kumsamehe, maana kama hii kwangu naona ni ya kawaida kabisa kuwa ni sehemu ya wajibu tu.
ndo umeandika nin misielew?
nakuongezea adhabu nakwambia....utakuwa unanifulia baadhi ya nguo zangu zileeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
 
Habari yake Mama kubwa....unamtafuta hatibreka au?

:confused2:....:pray:

rr umesemaje we mwanaume?
sasa adhabu yako nakununia kuanzia xmass mpk new yr ..na autaenda popote ntakufungia seblen ntakachokuachia ni remote tu bas..sim zote ntazifungia....mama bg hafai...nimewaruhusu mpeane darasa kwa semester moja sasa mwataka kuifanya kozi ya miaka mitano?ata inginiaring haifany ivo...!!!!
andika msg sema pole mama bg nilikuwa nakutania....la sivyo maji utaita mma leo...I SAID.

:tape::tape:

Pole Mama B nilikuwa nakutania.....(Mama B twende chemba basi)

:A S-confused1:

apana.ni yule mtoa vizazi vya kike.
anapenda sana kufanya safari na akifika kati kati ya safar anasimamisha tukutuku na kuzindika kichaka.
ana pilipili na hoho kwenye friji la mama bg
anapenda kutoa lami na kuweka vumbi

:noidea:

Nisaidieni namba za BABA Askofu!
Nimegundua kuna mtu anahitaji toba kabla ya Parapanda hapa!

PJ... ngoja Bigirita aje ajibu hizo tuhuma kwanza.... Kukiri ni kukubali na kubadilisha mwenendo

unafanaya nini apo?
rr usinichezee wewe nakwamboia we endelea kuniboa ata remote stakwachia tean..adahabu yako itakuwa jupika kuosha vyombo na kudek chooni ...xmas mpk new yr

Kweli umekasirika....:bolt:
 
NAdhani ukiongeza adhabu, zingine zitamaanisha kumsamehe, maana kama hii kwangu naona ni ya kawaida kabisa kuwa ni sehemu ya wajibu tu.

kwake ni adhabu cz HAFANYAGI WAJIBU WAKE...DAILY NAFUA mimi ...sasa kuanzia leo ntakuwa narundika tu ili ikifika trh 25 ziwe zmejaa tenga afue mpk akome!!!!!
 
:confused2:....:pray:

:tape::tape:

:A S-confused1:

:noidea:

PJ... ngoja Bigirita aje ajibu hizo tuhuma kwanza.... Kukiri ni kukubali na kubadilisha mwenendo

Kweli umekasirika....:bolt:

we askofu NTAKUSIRIMISHA muda si mrefu!!!!!
 
we askofu NTAKUSIRIMISHA muda si mrefu!!!!!

Pole Mama kwa matatizo yote yaliyokupata Jumamosi na Jumapili.... Mungu ni mkubwa, hayo ni mapito tu...

Nakutakia Heri ya Noeli, Yesu azaliwe moyoni mwako uachane na ma-hatibrekas
 
Pole Mama kwa matatizo yote yaliyokupata Jumamosi na Jumapili.... Mungu ni mkubwa, hayo ni mapito tu...

Nakutakia Heri ya Noeli, Yesu azaliwe moyoni mwako uachane na ma-hatibrekas

tokazako uko!!!!!1
stak mie!!!!!!!
 
:violin::violin::violin:

ahh sasa nikicheki jinsi unavyovuta nyuz la ilo gtaa sipat picha daaaa jisns utaklavyokuwa unanivuta nyuzi zangu za mbavuni uku nikikuimbia mwimbo wa SPANISH GUITAR BY TON ... hahah hahah rr rest in pc!!!!
 
Rose mi ingia kwenye gomvi na takatifu rr habana taka kabisa banaaaa....
 
ebu nipishe mieee usinijazie mbu mie...mwanaum egan weew uyoga unakushinda mayai ya kenge yamekushnda afu unataka ni....haaa mwanaume pumu tena pumu haswaa unitueeeeeeeeeeeee...usinijue jue nshakwambia me n u z ova til faza notice.
ova.

Pardon?
 
Back
Top Bottom