=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,081


Faiza Foxy... a Complicated, Strong, Highly opinionated, Abundantly knowledged,
Controversial, Impressive, Resilient (as per MTM) Lady at JF if any....

It seems you are not only aggressive at JF - BUT at life it self and Success in
Marriage institution as a whole... THUS 30 Years of it!!!

Ni wanawake wachache mno... mno... tunaweza tunza ndoa zetu na kufikisha
umri mkubwa... Kufikisha 30 years of your marriage today na gozi
lako hilo hilo unastahili Pongezi Dear.....
Hongera saaana.

:A S-rose:.....HAPPY 30TH ANNIVERSARY DEAR...:A S-rose:

P.S. Naombe ushee siri ya mafanikio ya kuweza fika hapo....

 
Yaani Gaga anahitaji miaka 13 zaidi ili akufikie. Hongera sana. Here is your Pearl.

14389W240.jpg
 
Nafikiri Mume wake lazima awe Mzungu au Mzungu design kwa kutawaliwa na FF....

Nampa HONGERA kwa kujipatia kakoloni kake kama Tanganyika ilivyo kwa Wazanzibar (Wazenji wanadai hivyo).

Miaka 30 si nyingi sana......ohhhhh, eti nini? Miaka 30 ndani ya ndoa? Khaaaa!!! Miaka yote hiyo mwanamume mmoja?

Siamini, kama wote, siamini Yeye na Yeyeeee..... Ila atakuwa mpenzi wa nyimbo za Ludacris.....



Utani Pembeni: Hongera sana mamaa FF. Kumbe ni mama na heshima yako? Samahani kwa Taarabu zote nilizokurushia. Heshima kwa mbele kuanzia leo. Ila sasa na wewe bana, kuwa basi kama mama mwenye ndoa ya miaka 30 basi. Hongera sana sana na tunasubiri miaka 50 ya ndoa yenu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom