Big up cheka kwa kukacha pambano na kaseba

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,366
2,397
Nampongeza sana bondia cheka kwa kuachana na pambano la j'mosi na kaseba.pambano hili lilikuwa nje ya utaratibu wa kawaida wa mchezo wa ngumi.na ikumbukwe cheka ni bingwa wa ngumi katika uzito wake.si sawa akajitokeza mtu tu na kutaka kupigana nae.
Huwezi kujitokeza tu from nowhere ukataka kupigana na pacquio,kuna taratibu zinazoongoza mapambano haya ni lazima ziheshimiwe na kufuatwa.

Nawapongeza sana waliomshauri cheka kuachana na hilo pambano lisilo na tofauti na bonanza.tuache kumdharau cheka ni mtu mkubwa sana kwa mchezo wa ngumi hapa nchini.kama masponsa wana nia nzuri na kipaji chache wanapaswa wamtafutie mapambano official yanayotambulika na mashirikisho ya ngumi duniani badala ya kumpeleka kwenye mabonanza.
Bip up cheka na washauri wako.
 
Nadhani Cheka lazima uwe na msimamo, mara sipigani ooh mara napigana, hivi hawa Watu wa Media ni Wadogo zako hata ukawaokota kwa taharifa zenye mkanganyiko! Mkuu umetia aibu, ilitakiwa toka mwanzo ukomae na msimamo wako si kukurupuka na kuropoka ropoka tu utafikiri mpiga debe, unajishushia heshima!
 
lakini kaka yangu Masulupwete hayo uliyoyasema aliyaona ama kaja kuyajua mwishoni?
 
Last edited by a moderator:
Huyu bwana si alishawahi kumpiga Kaseba halafu wapambe wa Kaseba wakamvamia na kumpiga ulingoni? Well ndiyo hivyo tena....Vipi pambano la Wema na Jack?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom