Big Dady birth day

Big Dady

Member
Nov 10, 2009
59
2
Nawasalimia sana bandugu wote wa JF. Napenda kuwajulisha kwamba leo ni birth day yangu, nikitimiza miaka 48. Namshukuru Mungu kwa yote, iwe kwa mafanikio au kwa kutofanikiwa kwani yeye ndiye mwingi wa rehema. Kibinadamu tunawaza na kupanga lakini mtekezaji ni Mungu pekee.Umri unaenda, majukumu ya kifamilia mengi, na uzee unasogea.
 
images
 
Hongera sana mkuu... naona umenidi miaka mitano, ngoja niendelee kuishi labda nitakufikia... Ha! Kumbe na we utakuwa umeongeza...
 
Back
Top Bottom