Big Brother Africa Starts this way......!!!!

Big brother z nothing rather than mind control jus gv us important info...
 
Sasa high hills kwenye plateau unategemea nini? Ila nimempenda huyu dada hope hatakuwa mama huruma. nasilia ni redio presenter ngoja nimgoogle kucheki anatangaza wapi!
 
sasa high hills kwenye plateau unategemea nini? Ila nimempenda huyu dada hope hatakuwa mama huruma. Nasilia ni redio presenter ngoja nimgoogle kucheki anatangaza wapi!

pia mi naona ana upeo mkubwa kiakili,huwa naangalia nirvana mara chache chache. She is good ila asingonoke tu humo ndani.
 
Walitudanganya eti mwakilishi wa Bongo ni BHOKE wa EATV connect kumbe ni lotus sijui yule wa kipindi cha NIRVANA agrrrrrrrrrrr halafu kateleza kwenye tiles pale jukwaani hahahahahah nooooouma!!!

Aibu yako aibu yetu?
tulia usiwe na haraka, umekariri mshiriki ni mmoja?
 
Mh! Washiriki wetu wa TZ hata siwaelewi jamani. Mmoja kanuna tangu kaingia, Mwingine is all over the Place. Duh! Sijui lakini. Tusubiri
 
One Eye?.......just being suspicious
 

Attachments

  • normal_P_May01_215627.jpg
    normal_P_May01_215627.jpg
    28.7 KB · Views: 40
  • normal_P_May01_220204.jpg
    normal_P_May01_220204.jpg
    26.8 KB · Views: 49
Here again.....!!!!
 

Attachments

  • normal_P_May01_215959.jpg
    normal_P_May01_215959.jpg
    18.7 KB · Views: 50
Subiria makeke yake humo ndani tunamshauri(sijui kama sijachelewa) ajiheshimu atunze utamaduni wetu wa kitanzania....maana jamii yote inayomjua na iliyofungamana nae itasikitika sana pamoja na watarajiwa wake kama wapo huku!!!la sivyo all the best....ingawa mimi kama mimi sioni cha maana kwa jamii yetu
 
ubaya ni kuwa show ka hizo, de mo mapepe n stupid thngz u do, de more pipo vote 4 u, sasa hawa wawakilishi wetu hawakawii kuingia kichwa kichwa, wakawa ma jamvi ya wageni humo ndani alafu waishie jiabisha wao wenyewe,familia zao,wapenzi wao na nchi kwa ujumla....
 
Aliteleza wakati anaenda kukaa so i guess it's not a big deal ila kwa sisi wabongo tulivyo sishangai kukuta kila gazeti lina hiyo habari
 
na mie nilikuwa nashangaa,coz sikumuona akianguka!exagerration at its best!it happens na sio kwa sababu ya high heels,hata na flat shoes kutegemeana na sakafu ilivyo!
<p>
Aliteleza wakati anaenda kukaa so i guess it's not a big deal ila kwa sisi wabongo tulivyo sishangai kukuta kila gazeti lina hiyo habari
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
na mie nilikuwa nashangaa,coz sikumuona akianguka!exagerration at its best!it happens na sio kwa sababu ya high heels,hata na flat shoes kutegemeana na sakafu ilivyo!
<p></p>
<p>&nbsp;</p>
Yap, naona watu wana-exaggerate sana halafu yule mdada wa Angola kile kivazi alichokuwa amevaa duh mimi yangu yalikuwa macho na hivi macho hayana pazia.
 
Back
Top Bottom