Biblia na biashara ya utumwa wa mtu mweusi Marekani

Hongera kwa kufikilia kwa kina japo majibu yanaweza yakawa wazi au yasiwe wazi kutokana na uelewa wa kila mmoja wetu kwa kadri alivyopata kuelewa ..

Kwanza kabsaa naomba nikuhakikishie kuwa utumwa unaozungumziwa kwenye biblia sio wa ngozi nyeusi tu,bali mtumwa anayezungumzwa mule ni mtu ambaye hajawa na concious awareness ya kusynchronise mental ambility yake na universe(The giver of everything) ambaye ndo controller wa yote..
Mtumwa anayezungumziwa kwenye biblia siyo mwafrica wala mzungu ,ni mtu yeyote asiyeelewa chochote kinaendelea katika mfumo unaoendelea kushikilia vitu katika ulimwengu huu..

View attachment 871700

Mwanzoni kabisa tangu mwanadamu kuingiliana na beings( viumbe toka dunia za mbali) mojawapo ya makubaliano yaliyofanywa ni kuuficha ukweli ni wapi power,knowlege,Intelligence pamoja na inspiration zinatoka..

Kwa hiyo Makubaliano yaliyofikiwa ni kutoruhusu mwanadamu atakayeendelea kuzaliana kutojua ile iliyo kweli inayoshikilia nguvu yote jinsi mambo yalivyo ,..

kwa hiyo ajenda ya kwanza ilikuwa ni kutafuta kundi kubwa la watu bila kuangalia ni jamii ipi ili kuficha ukweli na kuruhusu kundi kubwa litakalobaki liwe sample space kwa kazi maalumu ambaye imepangwa kufanyika katika dunia tunayoishi..

Basi mataifa mengi Ulaya,Asia ,South America yalielewa ule mpango mapema sana hivyo yakaanza kuelimishana juu ya mpango kabambe unaoenda kuipumbaza akili ya mwanadamu juu ya imani inayoenda kuelezewa juu ya nguvu iliyopo..
yanichampishwa majarida vikiwemo vitabu vitakatifu ili hali kumpoteza mwanadamu asigundue kuwa tayari ana uwezo wa kufree mind yake na kutoka kwenye utumwa wa akili potofu juu ya utengemezi wa kitu chochote toka kwenye nguvu isiyoonekana..

View attachment 871702

Mwanzoni kabsaa nchi chache kama Ugeruman zilielewa juu ya umuhimu wa free will ambayo ndo msingi pekee wa kuiunganisha mind ya mwanadamu na Nguvu kubwa basi ilipelekea kuwaelimishwa watu wake na kuanza kuwateka watu baki kama mataifa mengine mpaka pale elimu hiyo ilianza kutolewa kwa nchi nyingi za wenzetu ambapo kila mtu alipata kufahamu juu ya nguvu ambayo kapewa ndani yake na inaweza ikamfanya akasynchronize na higher beings na kumfanya aadvance katika kila civilization aliyokuwa anaitaka..

Ndo mana nchi nyingi za ulaya zilianza kuwa watumwa wao kwa wao (wenyewe) kabla ya kuja huku Africa make utamdanganya nani juu ya ukweli make kila mtu alikuwa tayari kashafree mind yake na kumfanya apate conciousness ya hali ya juu sana na wengi walijikuta wanaamsha pyschic powers za hali ya juu ,tena kama nchi za china huko ndo zimekuja kuidominate hiyo elimu mpaka sasa maendeleo yao ni makubwa sana na ikumbukwe kuwa unampomfundisha nguvu hii mtu mwingime akikuzidi ni shida kwani atakuwa na uwezo wa kusynchronize na universe ambayo kimsingi ndo mtoa wa kila kitu..

kwa hiyo ilipelekea nchi nyingi kupata elimu hiyo japo ilikuwa siyo kwa wote ila idadi kubwa iliapata kulewa ukweli wa kila kitu huku idadi ndogo ikiachwa iliniendelee kufanya physical work ..
View attachment 871708

kwa hiyo hayo machapisho na majarida yaliyokuwa yanaelezea au kusapoti slave ni mpango wa kuficha ukweli juu ya free will determination ambayo ndo msingi pekee wa mwanadamu katika kuraise na kushunt back negative awareness ambayo inakufanya uwe mbali wa nguvu inayoshikilia kila kitu..

Nguvu inayoshukilia kila kitu haina upendeleo kwa anayejua kuitumia,ni kitendo cha kuiamuru fanya hiki kwa kufuata sheria na taratibu ( Universal laws) ambazo ndo zinaruhusu flow pathway ya nguvu hizo..

Kwa hiyo mataifa mengi Ulaya yalipeana elimu hii na chimbuko lake ni wapi na ni kwa jinsi gani unaweza unganisha mind ya mwanadamu na universe energy field kuwa kitu kimoja kinachofanya kazi kupitia human mind power..kwa sababu kila mtu hapa duniani yuko connected na universal grid kias cha kuifanya iruhusu flow ya knowlege kwako na kuitumia utakavyo..

Tunaposema kuwa kila mind ya kiumbe yoyote yule ipo indirectly connected na universal energy field( super concious mind) ambayo haina upendeleo na mtu yoyote, just kuiset mind yako( free your mind to get complete access to universal power).
View attachment 871709

Kwa hiyo mwanadamu ulipaswa kufahamu hili jambo tangu zamani lakini wachache wamekuzika ndani ya shimo refu kisha kukutia moshi wenye ukungu mweusi kiasi kwamba ni nguvu kujifahamu mwenyewe..

View attachment 871710

Ndo mana unaambiwa ufalme wa Mbingu upo katika ufahamu wako Luke 17:21.( The kingdom of God is within you) hapa akimanisha uwezo wa kuicontrol dunia kw akuiamuru ifanye jambo lolotr upo ndani yako wewe,ndo mana tunaona nchi zilizoendelea zikiishi maisha yanayostahiki..
change your mind,be connected to the source ,forget about keeping playing and seeking help from others,you are the slave to the knower..

tuendeleeee sasa...........

Baada ya mataifa mengi ulaya kugundua kuwa uwezo wote upo katika akili ya mwanadamu ila kinachohitajika ni meditation na kufunuliwa ukweli wote juu ya wapi tumetoka na tupo hapa kwa lengo gani ,basi elimu ya kufree mind iliendelea kutolewa kwa usiri mkubwa sanaambapo tayari mwanadamu alikuwa na uwezo wa kuconnect mind yake na universal energy ( hapa tunaongelea nguvu au source ya kukuweka wewe hapa duniani..) hivyo nchi nyingi ziliamua kuachana na habari za kutesana kifikra na hatimaye kaunza kuelimishana katika viunga ( Shule maalumu) .
..
Katika kipindi cha kutoa elimu hiyo kwa siri iliwafanya waanze kutafuta mataifa mengine ambayo yangepelekwa nchini kwao kwa ajili ya kuendeleza kufanya kazi ngumu ambazo zilikosa mtu wa kuzifanya make kila mtu alikuwa bize anafundishwa elimu tambuzi ya siri juu ya jinsi akili( mind) ya mwanadamu inavyoweza kufanya mambo mazito kama itakuwa connected katika high concious field area..

Hivyo kukapelekea Bara la Africa kuchukuliwa kama sehemu ya kupata labour power( utumwa) kwani ndo sehemu pekee ambapo watu wake walichelewa kupata elimu tambuzi..

Hivyo watu wengi walipelekwa south America( Brazil), North America( U.S.A) na baadhi wakipelekwa Uarabuni ..

Kumbuka mtumwa wa kwanza ni yule aliyekuwa karibu na yule anayekuwa amefahamu mapema elimu tambuzi,na ukiangalia kweli Mwarabu alikuwa mtu wa kwanza kupata taabu sanaa, kwani ndo mtu pekee ambaye alichukuliwa akafanye kazi ngumu huko Ulaya huku wazungu wakiendelea kupewa elimu tamu yenye mambo mazito kwa siri sana.

,Ndo mana ilikuwa ni marufuku kwa mzungu kusogeleana na mwarabu na ukionekana umesogeleana ulikuwa unapewa sumu au kupigwa risasi kwani ilikuwa ni siri kubwa sana kumhuruhusu mwarabu ajue ..

Hali hiyo iliendelea mpaka pale mwarabu alipopata ufahamu zaidi juu ya kinachoendelea na kuanza mbinu za kuibia mafundisho yale mpka pale aliposamehewa kwa sharti moja tu la kutakiwa awe agent wa kutafuta ndezi wengine ili wakamliplace huko ulaya ,,.
Ndipo alipoanza kumkamata Mwafrica na kumpeleka huko kwenye soko za Watumwa..

Biashara hii iliendelea kunoga kwani nchi nyingi zilikuwa bize kupeana elimu tambuzi huku Mwafrica akigeuka kuwa mashine mbadala huku wazungu wakiendelea kupata elimu tosha mpaka mpale transition period ilipoisha ambapo sasa kila ngozi nyeupe ilikuwa tayari ishapata mwanga mwingi juu ya kutengenezea mashine ambazo zitaenda kumsaidia mwanadamu kazi( Replacement of human power) ..

Lakini kipindi hiki kilienda sambamba na Industrial revolution ( Mapinduzi ya viwanda) ,kwani baada ya mzungu kujifungia akila elimu tosha ndipo group dogo la wazungu lilikuwa linabadilisha elimu ile aiu linaifanyia kazi elimu ile kwa kuunda mashine kisa kuifanyia kazi kwa kumtumia yule yule mwafrica kama source ya Kuandaaa maligafin (raw materiol)..

Uhuru kamili wa mwafrica umekuja kupatikana baada ya super industrial revolution with machine to machine replacement ) uliokuja kumruhusu mwanadamu hasa ngozi nyeusi isiendelee kufanya kazi ngumu kwani tayari mashine zilikuwa na uwezo wa kuandaaa na kuprocess kila kitu bila msaada wa binadamu..

Conclusion........

Nahitimisha kwa kusema kuwa Bible,quran na majarida mengine yalichochea utumwa wa kifikra wa mwanadamu lakini utumwa uliokuwa unaelezewa ni free mind knowlege kwa wote lakini kutokana na upendo waliokuwa nao wenzetu walipeana elimu bila kufichana kuliko sisi ambao mpaka leo ukimwambia mtu kuwa Dini ni man made scriptures kwa lengo maalumu anakataa..

Free your mind ,you wana raise up conciousnes and ability to attain power to do anything..

Karibuni na wengine muendele..
Doh una elimu moja matata sana, ningependa kupata elimu hii hata kwa uchache, sound like unajua mengi sana. Watu kama nyie ni wachache huku Afrika, hawachelewi kukuita freemasonry au mfuasi wa lucifrians . Hali hawajui lolote kuhusu jamii hizo
 
Tumejuzwa kuwa huwezi pata maendeleo ukiwa huna utamaduni wako, dini ni moja ya vitu muhimu ktk kuchangia utamaduni wa mtu.Dini sahihi inakupa imani kuwa wewe ni bora na kuwa unaweza haikufanyi ijisikie binaadam daraja LA pili.Waafrika tumeacha dini zetu tunaweza kuwa na utamaduni wetu? waliobaki na dini zao kama wachina, wajapani,wakorea na wahindu ndio wanaoendelea kwa kasi.Waafrika tumebaki kugombana kwa ajili ya dini za wenzetu
 
Haya ndo madini yanayotakiwa....Free your mind ,you wana raise up conciousnes and ability to attain power to do anything
 
Habari za jioni wana JF leo nina mada sensitive kidogo ila ni muhimu sisi waafrika tujifunze mambo haya ili tuweze kufahamu historia yetu na wapi tunaelekea ila nahitaji utulivu unaposoma ili ujifunze kitu na ningeomba pia tusikashifiane kidini maana sio lengo la uzi huu, nashukuru kwa ushirikiano wenu.

View attachment 871542UTANGULIZI
Tukirudi nyuma marekani mwaka 1619, ambapo ulikuwa mwanzo wa karne mbili za wanadamu wa jamii ya Negroid yaani ngozi nyeusi kutoka bara la Afrika kutumikishwa kwenye mashamba na makazi ya wazungu lakini cha kushangaza zaidi na kinachoumiza zaidi ni kwamba uhuni huu ulipewa support kubwa na viongozi wa dini na makanisa ya huko marekani sio tu madhabahuni bali pia madarasani.

Kwa mfano kati ya miaka 1700 mchungaji William Graham alikuwa anakaribishwa kwenye vyuo mbalimbali huko Washington hasa siku za mahafali ili kuwaeleza umuhimu wa biashara ya utumwa na mbaya zaidi alitumia biblia kuhalalisha hilo.
View attachment 871540
BIBLIA INASEMAJE??
TITO 2

9 Watumwa na wawatii bwana zao, wakiwapendeza katika mambo yote; wasiwe wenye kujibu,
10 wasiwe waibaji; bali wauonyeshe uaminifu mwema wote, ili wayapambe mafundisho ya Mwokozi wetu Mungu katika mambo yote.

EFESO 6:5
5 Enyi watumwa, watiini wao walio bwana zenu kwa jinsi ya mwili, kwa hofu na kutetemeka, kwa unyofu wa moyo, kana kwamba ni kumtii Kristo;

Walawi 25:44
44 Tena katika habari za watumwa wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando-kando yenu, katika hao mtanunua watumwa na wajakazi.
45 Tena katika wana wa wageni wakaao kati yenu mtajinunulia, na katika jamaa zao walio pamoja nanyi, waliowazaa katika nchi yenu; wao watakuwa milki yenu.

Kutoka 21:20
20 Mtu akimpiga mtumwa wake, au kijakazi chake, kwa fimbo, naye akifa mkononi mwake, hana budi ataadhibiwa.
21 Lakini akipona siku moja au mbili hataadhibiwa; maana, ni mali yake

SABATO
Hata wakati ukoloni ukichachamaa huko America Nabii wa kisabato Hellen G White alionyesha wazi kusupport ukoloni wa watu weusi kwa kutumia Biblia hata kwenye mkusanyiko wa maandiko yake yaliyoitwa selected messages (Book 2) Hellen alisema "Kusiwepo na muingiliano wa ndoa kati ya weupe na watu weusi". Na akaenda mbali zaidi na kusema watu weusi wasijaribu kujiweka daraja moja na weupe sababu wao ni watumwa hivyo kibiblia hawawezi kuwa level moja na Bwana wao (wazungu) hapa nanukuu kutoka kitabu cha Testimonies volume ya 9

"The Colored People should not urge that they be placed on an equality with White People."

View attachment 871541
UKATOLIKI
Wakatoliki nao hawakuwa nyuma kwenye kutumia biblia kuhalalisha ukoloni, tokea mwaka 1517, hata Askofu mmoja aitwaye Las Casas wa uingereza aliagiza meli yenye watumwa kutoka Afrika na ombi lake likakubaliwa na mfalme Charles wa 5. Kibaya zaidi hata mapadre wa kikatoliki maarufu kama Capuchin missionaries walifungiwa na kanisa katoliki baada ya kudai watumwa wapandishwe hadhi huko marekani. Hata waasisi wa mwanzo wa kaniasa kina St.Augustine kwenye maandiko yake alisema utumwa ni taasisi iliyotokana na Mungu hivyo ni faida kwa mtumwa na Bwana wake. Na hata uongozi wa juu kabisa wa kanisa yaani ofisi ya Papa walisupport utumwa mfano Papa Martin 1 mwaka 650 AD alitoa waraka kuagiza kutimuliwa kanisani kwa viongozi wowote watakaofundisha watumwa kujikomboa ama kupinga ukoloni?? Na mafundisho haya walitumia vifungu hivi vya Biblia kuhalalisha.

HOJA
1.Sasa basi mie najiuliza swali moja kama Mungu alituumba wote kwa usawa kwanini basi kuna wanadamu wanahesabika ni daraja la pili hadi aruhusu wauzwe na kununuliwa kama bidhaa na kuwa mali ya mtu milele?

2. Kama utumwa ni halali kibiblia je ina maana wote waliopinga utumwa na ubaguzi wa rangi hapa duniani wote wamefanya dhambi hivyo wataishia kuzimu?

3. Je msimamo wa kanisa wa sasa kupinga utumwa haukinzani na mafundisho ya biblia juu ya kuhalalisha biashara hii ambayo wanaiita haramu kwa sasa??

View attachment 871543
HITIMISHO
Huenda Biblia ilitumia muktadha wa kipindi hicho kuelezea suala hili la utumwa ila viongozi wa kanisa wakayatafsiri vibaya maandiko haya kwa maslahi yao ila ningependa tufahamishane kuhusu suala hili kama lina baraka za biblia kweli au viongozi wa kanisa walidanganya wao kama wao kwa sababu zao binafsi??

Naomba kuwasilisha
Kuna shida kubwa sana sisi binadamu kufuata maagizo ya MWENYEZI MUNGU .Na hicho kinasababisha tutoke kwenye ukweli na kusababisha mafarakano. Muda wote kwenye biblia Mugunu amekuwa very specific kwa Maagizo yake .Lakini binadamu anapindisha.
Mfano wa kwanza -Adamu na Hawa waliambiwa nini wale na nini wasile lakini wakachagua kula kilichokatazwa.
mfano wa pili-Cain na Abel waiambiawa ni aina gani ya sadaka watoe (wachinje mnyama) Cain akasema haiwezekani mimi natoa Mazao ya shambani . Mwenzake Abel sadaka yake ikapokelewa na Cain ikakataliwa akakasirika akauwa mdogo wake. Hao ni watu wa mwanzo kabisa mwa ulimwengu kwa mujibu wa vitabu vitakatifu.
Kuanzia hapo yakaanza makundi mawili ya watu. kwanza linalo mtii Mungu na pili , lisilomtii MUNGU.
Kwahiyo bahati mbaya Zaidi haya makundi yote mawili yapo kanisani na yapo misikitini mwetu.Kuna mahali biblia inasema amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu. Wengi wetu tunategemea kwa asilimia mia wanachofanya viongozi wetu bila kuhoji kimetoka wapi au kwa andiko lipi. Mfano tunasali ijumaa ,jumamosi na jumapili hatuulizi ni kwa andiko lipi-tunafuata tu mkumbo kwa kuwa wazazi wetu wanafuata mrengo huo.Kuna viongozi wa dini wana malengo yao binafisi -akiamua kujificha huko kwenye dini ili mambo yake yafanikiwe atafanya chochote ili mradi mambo yake yakawe sawa- atadhulumu ,atashirikiana na chombo chochote anachoona kinamsaidia kufikia malengo yake binafsi.
Hivyo kufanywa daraja la pili hiyo ni matatizo yatu kuona mwenzio hafai wewe ndo unafaa. kuna watu wanaona kabila lao ndio bora, kuna watu wanaona elimu yao ndio bora kuna watu wanaona chama chao ndio bora.
Hivyo kutotii kwetu na kusimchafue Mungu wetu. Kiongozi wa dini akifanya kinyumme na maadili awajibike kama akina Cain na siyo kusema sasa dini haifai.
 
naomba nikuulize swali na unijibu kiuhalisia na sio kihisia;
hayo maagizo ambayo mungu wa waisraeli aliyatoa kwa adam na eva mwandishi wa hii stori( ambaye ni musa na hakuwepo) aliyajuaje?
 
Nabii anatoa unabii kwa yale ambayo Mungu amesema naye kwa njia ya sauti, maono na ndoto. Hesabu 12:6-8

“Kisha akawaambia,
Sikizeni basi maneno yangu;
Akiwapo nabii kati yenu,
Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono,
Nitasema naye katika ndoto.
Sivyo ilivyo kwa mtumishi wangu, Musa;
Yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote;
Kwake nitanena mdomo kwa mdomo, Maana, waziwazi wala si kwa mafumbo; Na umbo la BWANA yeye ataliona. Mbona basi ninyi hamkuogopa Kumnenea mtumishi wangu, huyo Musa?”

ingawaje umenijibu kihisia naomba nijibu swali jingine hapa chini;
unaamini kuwa musa aliandika vitabu vitano? (kumbukumbu la torati,hesabu,kutoka,mwanzo na mambo ya walawi)
 
Dini na viongozi wa Dini wanatumia maandiko kukidhi haja za mioyo yao. ukichunguza kwa undani Resources/Pesa huwa ni chanzo kikubwa sana.
Sasa hivi makanisa ya kiroho/pentekoste yameshamiri sana Africa. nyuma ya pazia ni makusanyo na changizo za kifedha
 
Utumwa upo na hauna mwisho.
Paul amefundsha Hekima Namna ya kuishi.
Mf: Mimi Ni nimeajiriwa..
.tayar hapa Mimi Ni mtumwa napaswa kutii.......je; viip Paul angesema watumwa wasiwanyenyekee matajir wao?? Nafikir leo maada ingehusu mengne.......uzuri wake Paul hakuishia hapo akawashaur na matajir kuwa wafanyien haki....je! Vipi hapa Paul angesema msiwafanyie haki? Nafir pia ukristo usingekuwa na maana yeyote.

Umasikini upo na utazdi kuepo milele na milele.
Ndio maana Bible inasema Tuwasaidie.
Je! Biblia ingesema tusiwasaidie kisa Ni masikini ..Bible ingekua na maana gani?

Ni mhimu kufikiria maana ya utumwa. Na kwann kuweko na utumwa?

Kama ww umechukua mtumwa yeye akakutii (kama yasemavyo maandiko) afu wee ukashindwa kumfanyia haki( Ni nani hapa kavunja Agizo na wajibu!?)

Bible haijaruhusu biashara ya utumwa hyo ieleweke ivo.....hata hao waliotumia Bible kumfundsha mtumwa jinsi ya kutii ....na wao kushindwa kumfanyia haki mtumwa (basi yeye ahusika katk hyo dhambi)
Uko sahihi kabisa Utumwa upo mpaka leo. Tofauti ni jina tu na kuongezeka kwa haki za mtumwa wa leo.

Zamani waliitwa watumwa na walikua wanatumikishwa kazi ngumu kwa masaa mengi. Na pia walilazimishwa kufanywa watumwa.

Leo hii dunia imebadilika Watumwa wanaitwa Wafanyakazi.

Zamani mtumwa alipewa chakula tu na alikua anakaa kwenye makazi ya Bwana wake. Alikua anatolewa Afrika kupelekwa America kwa nguvu na hakuweza kurudishwa au KURUDI nyumbani tena.

Leo hii watu wanatoka Afrika kwa hiyari yao kwenda America n kwingineko kwa hiyari yao ili kusaka maisha. Wanaacha ndugu na familia.Ni utumwa wa kileo ambao unafanyika kwa staha.

Fikiri mtu wa Sumbawanga anamaliza chuo Kikuu halafu anapangiwa kazi Pemba bila ridhaa yake. Huyu ni mtumwa anayeitwa mfanyakazi.Anaenda kuishi sehemu ambayo huenda hajawahi kufikiria kuwa ataishi huko. Anakubali kuwa mtumwa ili tumbo lipate chakula.

Biblia imeelekeza watumwa( wafanyakazi) wawatii mabwana zao (mabosi wao) .Maelekezo ya Biblia yako sahihi mana mtumwa asipomtii Bwana wake atauawa mana mabwana wao ni katili waliojawa roho ya kiburi na ukubwa. Halikadhalika mfanyakazi asipo mtii bosi wake atafukuzwa kazi na kuna baadhi ya kazi pia anaweza akauawa.

Kifupi tu ni kwamba Utumwa upo na Biblia imeletwa wakati huo Utumwa ukiwa umeshamiri kwenye jamii nyingi kama ilivyo Utumwa wa Leo yaani watumishi au wafanyakazi wapo dunia nzima. Na mwisho wa mwezi wanalipwa mshahara na wanakatwa Kodi kama ilivyokua zamani kwa manamba / watumwa baada ya mfumo wa utumwa ulipoanza kubadilika kidogo kidogo . Kwa hiyo manabii walihimiza tu namna bora ya kuishi kati ya mtumwa na bwana wake mpaka pale ufalme wa Mungu utakapo eneo na kuimarisha haki,utu na usawa. Nadhani hata leo inaonekana kwa baadhi ya mabwana kuwaweka ndani watumishi pale wanaposhindwa kuonyesha utii mbele yao.
 
IPO nadharia kuwa Mungu wapo wengi, Mungu Mkuu ametengeneza utawala wake akisaidiwa na miungu wengine wadogo wadogo, kila kabila lina mungu wake mfano Wamasai wanae Engai, Wasonjo wanae hambage nk hawa wote wapo chini ya Mungu wa Watu weusi, ndio maana ibada za asili za makabila ya weusi zinafanana .Waisrael wao anaitwa Yehova yupo chini ya Mungu wa watu weupe na waarabu wao anaitwa Allah hivyo kila race INA Mungu wake anayesimamia miungu ya kila kabila na hao wamakabila wanasimamia miungu ya kila ukoo na kila MTU ana kamungu kake lakini kuna Mungu Mkuu ambaye hatupaswi kupeleka shida zetu kwake direct yuko busy sana anasimamia dunia yetu ,ulimwengu yaani universe yetu na nyingine nyingi ambazo hazijagunduliwa. Nadharia hiyo inasema MTU mweusi itakuwa vigumu kupata ahueni kimaisha kwa kuwa amemwacha mungu wake ni mpaka Miungu wa waarabu na waisrael wamalize kuwasaidia watu wao kwanza hivyo mwafrika atakula makombo toka meza za hao mpaka atakapotambua miungu wake
 
Back
Top Bottom