Biblia haijamilika inahitaji msaada wa nje, haiwezi kujisimamia

Kuvunjika kwa ndoa ya kikatoliki lazima kwanza wawe wameanzia kwenye mahakama ya kanisa ndoa inakuwa imebatilishwa halafu ndio waende mahakama ya serikali.

Usiwe unabisha ili mradi tu ulete ubishi. Kubali kuelimika. Fanya research yako vizuri.
kiufupi ni kwamba sheria za kikristo hazina msaada hapo inabidi hata kanisa lianze kupindisha sheria.

Kwa maneno yaliyomyoka Yesu ndoa haivunjiki isipokuwa kwa usaliti wa kuzini nje ya ndoa

hizo sheria nyingine hazina utofauti na papa aliyeanza kuwapa baraka mashoga
 
Zingekuwa hazina msaada ndoa sisingevunjika lakini tunaona zinavunjika.

Wasioweza kuvunja ndoa kwa sababu za msingi zinazoeleweka wana matatizo ya akili.
 
Kuvunjika kwa ndoa ya kikatoliki lazima kwanza wawe wameanzia kwenye mahakama ya kanisa ndoa inakuwa imebatilishwa halafu ndio waende mahakama ya serikali.

Usiwe unabisha ili mradi tu ulete ubishi. Kubali kuelimika. Fanya research yako vizuri.

Ndoa ya katoliki inavunjwa bila hata kwenda kanisani. kata wana baraza la wazee.. hilo lina mamlaka la kuvunja ndoa ya kanisa lolote. Fomu yao wakikupa mahakama inasikiliza kesi na kuvunja ndoa
 
Mnajibu swali juu juu sana.. hii ndio inawatisha watu.

Ndoa itakufa bila kwenda mahakamani ?
Kwenda mahakamani ni lazima kwasababu kuna mambo ya watoto na mali. Kanisa linaheshimu serikali na haliwezi kupoteza muda kupanga nani achukue mali ipi. Hiyo ni kazi ya serikali.
 
Ndoa ya katoliki inavunjwa bila hata kwenda kanisani. kata wana baraza la wazee.. hilo lina mamlaka la kuvunja ndoa ya kanisa lolote. Fomu yao wakikupa mahakama inasikiliza kesi na kuvunja ndoa
Hao wanavunja taratibu, haipo hivyo. Mahakama ya kanisa ipo.
 
BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA,

  • huruhusiwi kuongeza mke
  • Ndoa itavunjwa tu patapokuwa na ushahidi moja wenu anazini nje ya ndoa
  • Kutengana ni mpaka kifo ndipo unapoweza kuoa upya,

Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa tendo mwaka mzima, haruhusiwi kuongeza mke wala kumuacha mkewe, na kumbuka huyo ni mwanaume rijali kaumbwa na matamanio.

Nina uhakika wa asilimia 100 sheria za kikristo haziwezi kujisimamia ndio maana watu hukimbilia mahakamani ama viongozi wa kanisa hao hao waliofungisha ndoa kwa sheria za kikristo watapindisha sheria ili muachane
Hauijui biblia.Soma.Ina majibu yote.
 
Hakuna cha msaada humo ndio maana hata wakatoliki wanavunja ndoa mahakamani kwa kunyimwa unyumba
Sababu pekee inayofanya ndoa ivunjwe na mahakama ni kwa sababu ya uwepo hati ya kisheria ya Jamhuri. Cheti cha ndoa si mali ya kanisa au msikiti. Anayefungisha ndoa anatoa Cheti kwa niaba ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kubatilishwa hati hiyo itafanywa hukohuko.
 
Unategemea biblia na quran zikusaidie kutatua matatizo???!!! sasa ulipewa akili na ufahamu kwaajili gani?? kwenye biblia hiyo hiyo kuna mtu alikua na wake sijua 100 au 1000 na hakuadhibiwa chochote na mungu zaidi ya kuzawadiwa utajiri na hekima alafu kwenye biblia hiyo hiyo mnaambiwa muoe mke mmoja???!!! hao walioandika hivyo vitabu sijui walikuwa wanatumia vilevi gani
Mkuu una uhakika Suleiman hakupewa adhabu unajua mwisho kilichomkuta hadi yeye mwenyewe akakiri kuwa yote ni ubatili na kujilisha upepo, halafu hao kina Suleiman katika utawala wao waliua watu kadhaa lakini bado walipewa hekima na utajiri kwahiyo mnataka kusema kuua siyo dhambi kisa tu wao waliua, si kila matendo waliyofanya manabii basi ndio miongozo kwa watu wengine hayo yalikuwa maisha yao binafsi na siyo maagizo ya muumba
 
Bibilia iko wazi sana jambo lolote litakalo kubaliwa duniani na mbinguni litakubaliwa Mathayo 18:18 .kwa misingi hiyo kuna changamoto za hapa na pale katika maisha ambazo zimepelekea kanisa kutengeneza miongozo na kanuni ,ambazo ni kwa malengo mazuri tu yakiutawala.
 
RIP my wormate Shayo mkeo alithibitishwa hawezi kuzaa akakataa kuachwa au kuwa na mke mwenza ,RC Arusha wakakalia kesi mpaka umauti ukakufika
Mtakuwa wote kwenye shida na raha. Sasa why kwenye shida inataka kumkwepq.
 
BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA,
  • Huruhusiwi kuongeza mke
  • Ndoa itavunjwa tu patapokuwa na ushahidi moja wenu anazini nje ya ndoa
  • Kutengana ni mpaka kifo ndipo unapoweza kuoa upya,

Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa tendo mwaka mzima, haruhusiwi kuongeza mke wala kumuacha mkewe, na kumbuka huyo ni mwanaume rijali kaumbwa na matamanio.

Nina uhakika wa asilimia 100 sheria za kikristo haziwezi kujisimamia ndio maana watu hukimbilia mahakamani ama viongozi wa kanisa hao hao waliofungisha ndoa kwa sheria za kikristo watapindisha sheria ili muachane
Kwa hizo hoja zako zote inaonyesha wazi ww huijuwi Biblia hata kidogo yani uelewa wako ni mdogo sana kwenye Biblia,kama haitoshi hicho ndio kitabu pekee kilichokamilika.
 
BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA,
  • Huruhusiwi kuongeza mke
  • Ndoa itavunjwa tu patapokuwa na ushahidi moja wenu anazini nje ya ndoa
  • Kutengana ni mpaka kifo ndipo unapoweza kuoa upya,

Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa tendo mwaka mzima, haruhusiwi kuongeza mke wala kumuacha mkewe, na kumbuka huyo ni mwanaume rijali kaumbwa na matamanio.

Nina uhakika wa asilimia 100 sheria za kikristo haziwezi kujisimamia ndio maana watu hukimbilia mahakamani ama viongozi wa kanisa hao hao waliofungisha ndoa kwa sheria za kikristo watapindisha sheria ili muachane
Mawazo ya wazinzi. Unataka Mungu abadili utaratibu kwaajili ya tamaa zako
 
Ndoa siyo ya Kila mtu,kama unaona kabisa huwezi kuvumilia kasoro za mtu mwingine Bora kukaa singo,maana kujiingiza katika ndoa halafu uachike ni aibu kuliko usipojiingiza huko kabisa.
 
Nani kakudanganya kuna mwanaume anaweza kukaa mwaka mzima uraiani bila tendo
 
BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA,
  • Huruhusiwi kuongeza mke
  • Ndoa itavunjwa tu patapokuwa na ushahidi moja wenu anazini nje ya ndoa
  • Kutengana ni mpaka kifo ndipo unapoweza kuoa upya,

Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa tendo mwaka mzima, haruhusiwi kuongeza mke wala kumuacha mkewe, na kumbuka huyo ni mwanaume rijali kaumbwa na matamanio.

Nina uhakika wa asilimia 100 sheria za kikristo haziwezi kujisimamia ndio maana watu hukimbilia mahakamani ama viongozi wa kanisa hao hao waliofungisha ndoa kwa sheria za kikristo watapindisha sheria ili muachane
Sio biblia tu, bali hata quran.

Quran haijitoshelezi,
Kwasababu lazima uongezee hadithi pia.

Ukweli ni kwamba vitabu hivyo vina kasoro nyingi sana kwani vimeandikwa zama za giza na ujinga.

Kwahyo usitumie logic kuchanganua kitabu kimoja tu,
Logic itumike kwenye vitabu vyote.
 
Back
Top Bottom