Bibi KizeeMahakamani.

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204


Kijana wa miaka 22 anashitakiwa kumbaka bibi kizee wa watu.
Hakimu: Bibi hebu ieleze mahakama kilichotokea.
Bibi Kizee: Nimelala nyumbani kwangu usiku wa manane,
Mlango unavunjiliwa mbali na anaingia huyu kijana, aliyesimama pale.
Hakimu: Endelea, Bibi.
Bibi Kizee: Si akanivua nguo zote nan alafu kunipanda.
Hakimu: Enhee!
Bibi Kizee: Akawa anakata kushoto, mimi kulia. Alidhani
mimi *****!?
Hakimu: Enhee!
Bibi Kizee: Kila akikata, na mimi najibu!
Hakimu: Sasa tatizo lilokuleta hapa mahakamani ni nini?
Bibi Kizee: Ajenge ule mlango aliouvunja!
Hakimu Akabaki domo wazi.....


Source: http://www.globalpublisherstz.com/2008/07/01/usitake_ncheke.html
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom