Bibi kizee apona kuzikwa akiwa mzima!!!!!!

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,171
3,346
WanaJF epukeni kutoa kauli tata kama haitapita wiki hii lazima ufe na zinazofanana na hizo katika jamii inayotuzunguka ili yasije kukukuta kama ya bibi mmoja kikongwe mkoani Maswa - Shinyanga aliyemuahidi mtu haitapita miezi miwili utakufa. Kweli bibi hakuwa na miadi na Mungu yule jamaa akafa ndani ya kipindi hicho, siku ya mazishi ndugu walitaka kumzika na marehemu kwa minajili ya ulozi wa kibibi hicho!
WanaJF mnaopenda ubabe chungeni kauli tata yasije kuwakuta ya bibi kizee.
Source TBC1
 
hi kitu huwa inatokea esp. kama mtu amekukosea ukamtamkia maneno ukijijua wewe hauna kosa kabisa au unazingiziwa
ni laana ya kupewa na ni mbaya sana

ila wengine wanakuwaga wachwawi

wengine wana baraka za kuona yajayo kwa watu
mfano: kama kukutana na mtu mkaudhiana lets say barabarani ukamjibu vibaya au kumtukana later kitu kidogo unaishia kujuta
 
All in all tunatakiwa kuwa makini na matamshi yatu kwa mana maneno uumba....bibi wa watu unaweza kuta hata huo ulozi haujui ni vile tu imetokea kama coincidence.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom