K kalikenye JF-Expert Member Dec 21, 2009 1,649 372 Sep 1, 2012 #2 Na rozari yake kama tai. Kwa kweli Chadema imewashika pabaya wakristo. Hawachomoki lazima waishabikie kwa kuwa kimebeba matumaini yao.
Na rozari yake kama tai. Kwa kweli Chadema imewashika pabaya wakristo. Hawachomoki lazima waishabikie kwa kuwa kimebeba matumaini yao.
Columbus JF-Expert Member Nov 5, 2010 2,002 648 Sep 1, 2012 #5 Kuna mtu aliniambia hiyo ishara maana yake ni mitanda yote miwili inapatikana hapo Voda na tIgO
awp JF-Expert Member Jun 6, 2012 1,711 599 Sep 1, 2012 #6 distazo said: Kuna mtu aliniambia hiyo ishara maana yake ni mitanda yote miwili inapatikana hapo Voda na tIgO Click to expand... aisee! mtake radhi antie boflo anatumia mtandao mmoja tuu. nimecheka sana
distazo said: Kuna mtu aliniambia hiyo ishara maana yake ni mitanda yote miwili inapatikana hapo Voda na tIgO Click to expand... aisee! mtake radhi antie boflo anatumia mtandao mmoja tuu. nimecheka sana
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Feb 14, 2012 987 220 Sep 1, 2012 #7 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Huyu sio Bibi, mimi namwona kama vile Inspekta Harun aka Babuu!