makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 28,182
- 81,113
Chief, mzigo chini ya kilo mnasafirisha kiasi gani, je nikinunua mizigo tofauti(kwa watu tofauti) ila nikaiaddress kwenu(warehouse yenu china) inawezekana mkaipack katika kifurushi kimoja kisha ndio kipimwe na kisafirishwe(maana yangu nilipie huo mzigo pekee)?Karibu Nufe trading and logistics limited, uagize nasi
+255659325453