Biashara za kuagiza vitu China

Karibu Nufe trading and logistics limited, uagize nasi
+255659325453
Chief, mzigo chini ya kilo mnasafirisha kiasi gani, je nikinunua mizigo tofauti(kwa watu tofauti) ila nikaiaddress kwenu(warehouse yenu china) inawezekana mkaipack katika kifurushi kimoja kisha ndio kipimwe na kisafirishwe(maana yangu nilipie huo mzigo pekee)?
 
Samahanini jaman naomb mnisaidie connection za kuwapata supplier waaminifu kutok china ambao naweza watumia kuagiza vitu mbalimbali maaan weng ni matapeli na nishapiteza zaid ya m1 ila sichoki kujaribu naomb km kun mtu mwenye uelewa hasa hawa wanao miliki magrup ya agiza china na....

Msaada wa masupplier au connection zakupat vitu kutok China
Watumie Alibaba kwa wholesale.. Wana kanuni kali za kulinda pesa ya mteja, hawa ndugu zetu wa kuwapa cash watakuumiza zaidi
 
Mimi nipo China, changamoto ya wabongo wengi mtu anakuja na list ya bidhaa ukamuulizie bei.. anakupa vitu 15 mfano..mpaka umalize kutafuta machimbo yote ya bei, halafu ukimpa mrejesho anakwambia ngoja nitafute mtaji Anyway supplier hawezi kuwa mmoja wa bidhaa zako zote
 
Mimi nipo China, changamoto ya wabongo wengi mtu anakuja na list ya bidhaa ukamuulizie bei.. anakupa vitu 15 mfano..mpaka umalize kutafuta machimbo yote ya bei, halafu ukimpa mrejesho anakwambia ngoja nitafute mtaji Anyway supplier hawezi kuwa mmoja wa bidhaa zako zote
Hahaaaaaa
 
Kua makini na hapa kuna matapeli wengi

Ni Kweli kabisa, ndo maana wengine tunakuwa na ofisi dar mtu anaanzia ofisini then anakuja huku.. au kwenye group la watsapp then tunafanya business. Changamoto ni usafiri kwa agency sisi hatuwezi kucontrol logistics, sometimes it takes zaidi ya mwezi naa
 
0768821117 mtafute huyu ni muagizaji wa bidhaa toka China,Uturuki,Dubai n.k hatutajutia......yupo dar ana ofisi na hana mambo mengi

Anaitwa Aggy Nyamlale uhakika 100% nina mwaka wa 3 sijawahi kujutia.
 
Back
Top Bottom