Biashara ya Uchawi Tanzania

Mhhi.magari yote yanakuwa cleared bandarini.ina maana wana mpaka viwanda nje.wabongo IMETOSHA tuanze kuishi na Akili zetu.tumekua na external drivers miaka mingi, we dont even sleep with our brain.
 
Juzi juzi town jamaa alitinga bank na gari moja hatari akiwa na suti matata miwani mikubwa na mkoba wa kuninginiza mkononi!kimtindo anaonesha ni mwenyefweza za kutosha....

wakati anashuka jamaa wa kubrushi viatu pembeni akaanza kutoa sifa da wana mmemuona boss maisha ndio hayo watu wanakula gud time bana wee acha tuu....anawadca watu wa vijiweni walioketi pamoja...jamaa kaingia bank aliipotoka akamfata akamwambia we unaona me napata raha sana si?
Fundi viatu oo we mwenyewe huoni bana kwani mm sitamani kuwa na gari kama lko kuvaa suti nzuri nami nionekane nazimu ka wewe?
Jamaa amuuliza swali unalitaka gari hili? Basi vaa miwani hii japo kidogo tu! Akavua akampatia!
Jamaa kuvaa akaanza kupiga kelele....
Bosi likachukua miwa akaingia kwenye gari nduki!jamaa mikelele mpaka jamaa anapotetea ndio anaanza kuadisia eti lile sio gari bari nijeneza lenye matairi alafu watu wote alikua anatuona mafuvu matupu...
Nikamuacha wamemjalia hapo me nikawai hotuba ya raisi kutangaza baradha la katiba mpya...coz nlijua tuu nini kinaendelea.

...aisee. Hii inatisha!
 
Mhhi.magari yote yanakuwa cleared bandarini.ina maana wana mpaka viwanda nje.wabongo IMETOSHA tuanze kuishi na Akili zetu.tumekua na external drivers miaka mingi, we dont even sleep with our brain.

Mkuu ukiwa wa mwilini huwezi kujua mambo yanayoendelea katika ulimwengu usioonekana. Wake up man!
 
Wenzako huku kwetu uchawi ni UTAMADUNI WA ASILI. tunautumia kama alama ya asili yetu. TUNAJIVUNIA UCHAWI WETU, TUNAFURAHIA TUNAPOKUTANA KWENYE MIKUTANO YETU, hofu yako nini?
 
majimoto who are you?nimetokea kupenda vile unavyotudadavulia mbinu zakutoka gizani sasa napata wakati mgumu kukusoma....are a normal human being or are you saint sent frm above or are you an angel pls answer me!
 
he is a normal human being created in Heaven...
 
majimoto who are you?nimetokea kupenda vile unavyotudadavulia mbinu zakutoka gizani sasa napata wakati mgumu kukusoma....are a normal human being or are you saint sent frm above or are you an angel pls answer me!

majimoto ni mchawi wa daraja la juu kabisa kwa mujibu ya maelezo yake,kama ni hotel huyu ni nyota tano ktk uchawi,NAHISI mkuu wa wachawi alimchukulia mkewe akakasirika na kuamua kutoboa siri za wachawi hapa!lol!

baadaye majimoto kwa mujibu wa posts zake akawa kama kaasi upande wa wachawi na kuamua kuja kwa Mungu lakini cha ajabu akawa bado anaenda kuchungulia vikao vya wachawi,kifupi majimoto a.k.a mbayuwayu hajajipambanua mpaka sasa yuko upande gani,kwa shetani au kwa Mungu,huyu jamaa ahera hayupo duniani haonekani!
 
Juzi juzi town jamaa alitinga bank na gari moja hatari akiwa na suti matata miwani mikubwa na mkoba wa kuninginiza mkononi!kimtindo anaonesha ni mwenyefweza za kutosha....

wakati anashuka jamaa wa kubrushi viatu pembeni akaanza kutoa sifa da wana mmemuona boss maisha ndio hayo watu wanakula gud time bana wee acha tuu....anawadca watu wa vijiweni walioketi pamoja...jamaa kaingia bank aliipotoka akamfata akamwambia we unaona me napata raha sana si?
Fundi viatu oo we mwenyewe huoni bana kwani mm sitamani kuwa na gari kama lko kuvaa suti nzuri nami nionekane nazimu ka wewe?
Jamaa amuuliza swali unalitaka gari hili? Basi vaa miwani hii japo kidogo tu! Akavua akampatia!
Jamaa kuvaa akaanza kupiga kelele....
Bosi likachukua miwa akaingia kwenye gari nduki!jamaa mikelele mpaka jamaa anapotetea ndio anaanza kuadisia eti lile sio gari bari nijeneza lenye matairi alafu watu wote alikua anatuona mafuvu matupu...
Nikamuacha wamemjalia hapo me nikawai hotuba ya raisi kutangaza baradha la katiba mpya...coz nlijua tuu nini kinaendelea.

hahahaha ww hebu acha kutuzeveza bana...z ths real ?? dah...JESUS wer are u ??
 
[h=3]WACHAWI WAWILI TOKA KIGOMA WAKAMATWA KANISA LA UFUNUO MWANZA.[/h]

Watu wanaosadikiwa kuwa ni wachawi

Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wachawi wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani mwanza baada ya kukutwa katika kanisa la Ufunuo lililopo Butimba, jijini Mwanza.

Wananchi na baadhi ya maafisa wa jeshi la polisi Mwanza wakiwa wamewazingira wachawi hao katika viwanja vya polisi Mwanza leo asubuhi katika kuchukuwa maelezo.

Watu hao ambao wamekutwa kanisani hapo leo majira ya saa 12 asubuhi na Mchungaji wa kanisa hilo Diana Bandele na Abigaili Zumaridi ambaye ni nabii wa kanisa hilo wametambulika kuwa ni wachawi mara baada ya kuhojiwa na kukiri kuwa wamesafiri kwa ungo kutoka kijiji cha Kaziramkunda wilayani Kasulu mkoani Kigoma hadi jijini Mwanza kuwachukuwa watu walioagizwa kwaajili ya sadaka.

Pembejeo za kichawi mwanamke alisafiri kwa kutumia ungo na mwanaume akatumia mkuki na pembe.

Kwa mujibu wa mahojiano hayo wachawi hao ambao niMwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Masaganya Kalimanzila (30) na mwanaume Chiza Juma wamesema walipewa amri na wakuu wao wanao ishi chini ya maji kuwachukuwa watu watatu wa kanisa hilo kwa mazingira ya kichawi ili wawauwe kwaajili ya kafara na mazindiko.

Mchungaji wa kanisa la Ufunua Diana Bandele (kushoto) na Abigaili Zumaridi ambaye ni nabii wa kanisa
hiloambao waliwakuta wachawi hao kanisani mwao majira ya saa 12 kwani muda huo ni ada kwa wao kujitakasa kwaajili ya kuianza siku ya ibada.

Ingawa jeshi la polisi linaendelea kuchunguza juu ya tukio hilo, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania hakuna kipengele kinacho utambua uchawi hivyo hakuna kesi inayowakabili watu hao
 
Back
Top Bottom