Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Vitu muhimu sana ni:-

1. Photocopy machine yenye uwezo wa kuprint black & white, IR series nunua MPYA
2.
Nunua Epson printer yenye wino wa mtungi na ina scan pia. nunua Mpya
3.
Desktop computer, hii hata used inatosha.
4. paper cutter, binding, lamination machines bei zake ni ndogo mpya zinafaa.
 
Ni simple kwani mashine yenyewe inahesabu copy zilizotoka kwa siku. Mwambie karatasi itakayoharibika hisitupwe na oanisha na no ya photocopy

Kwa zile photocopy Machine ambazo zina print Utawezaje kujua kurasa ambazo ame print. Kwani nataka kujua Leo photocopy ni kurasa ngapi na printing ni kurasa ngapi kwa zile Photocopy Machine ambazo zina print, Utajuaje kurasa alizo Printi.
 
Ninayo stationary, ina canon ir 2018 na Nashuatec 2000,

Kwa Nashua inaonyesha umetoacopy ngapi umeprint ngapi.

Canon inaonyesha umetoa copy ngapi printing ngapi scan ngapi. Hivyo monitoring ni simple. Tukija kwenye binding lamination hiyo pia inajulikana pesa ya hivyo vitu isichanganywe na ya copy,

Kujua namna ya kusoma hivyo vitu canon na Nashuatec unapaswa uiweke kwenye network amasivyo kuna kaprocess kidogo ambako nnaweza kukutrain au kukusetia kwagharama kidogo isiozidi 50,000 tu.

Pia ukitaka mashine za copy unaweza uziwa machine bora kabisa ya nashua mp 2000 kwa 2,000,000 hii ni mashine bora kabisa inauwezo wa kuprint mbele na nyuma ya karatasi haiitaji usimamizi wakati wa kucopy inavutakaratasi yenyewe na ni alamost mpaya imetoa copy 60,000 tu. Contact pm
 
Ninayo stationary, ina canon ir 2018 na Nashuatec 2000,

Kwa Nashua inaonyesha umetoacopy ngapi umeprint ngapi.

Canon inaonyesha umetoa copy ngapi printing ngapi scan ngapi. Hivyo monitoring ni simple.
Tukija kwenye binding lamination hiyo pia inajulikana pesa ya hivyo vitu isichanganywe na ya copy,

Kujua namna ya kusoma hivyo vitu canon na Nashuatec unapaswa uiweke kwenye network amasivyo kuna kaprocess kidogo ambako nnaweza kukutrain au kukusetia kwagharama kidogo isiozidi 50,000 tu.


Pia ukitaka mashine za copy unaweza uziwa machine bora kabisa ya nashua mp 2000 kwa 2,000,000 hii ni mashine bora kabisa inauwezo wa kuprint mbele na nyuma ya karatasi haiitaji usimamizi wakati wa kucopy inavutakaratasi yenyewe na ni alamost mpaya imetoa copy 60,000 tu. Contact pm

Hivi ThinkPad wewe ni mtu wa kunambia nikuPM??

Dah... Kwanza nisamehe make nilishasahau kama wewe ni mdau wa mambo hayo!!!

Nitakutafuta tukae kama kamati wangu....
 
Last edited by a moderator:
Naomba kuuliza swali? Hivi katika hii biashara mfano umeajiri mtu, huwa utajuaje kama mfanyakazi wako hakuiibiii?
 
Pia unaweza kuweka Flash Disc kwenye stationary yako.
Mimi nawauzia wadau wenye stationary flash disc kwa bei ya jumla

4 gb 8500
8 gb 10000

ambapo wao wanauza kati ya
15000-25000 kwa flash za 8gb
12000-18000 kwa flash za 4 gb
kutegemeana na eneo.

0714883861
nicheki kama unahitaji nikufikishie kokote ulipo.

Brand ya flash zangu ni Toshiba Original made in Philippines
 
Wakuu kwa anaefahau sehemu pa kuchukulia vifaa vya stationary kwa jumla kama rims wino flash disks madaftari na bidhaa nyingine za stationary. Ambapo bei ni affordable mm nipo Mwanza. Nawasilisha.
 
wakuu kwa anaefahau sehemu pa kuchukulia vifaa vya stationary kwa jumla kama rims wino flash disks madaftari na bidhaa nyingine za stationary. Ambapo bei ni affordable mm nipo Mwanza. Nawasilisha.

Nenda Tahfif stationary..wapo opposite na K.koo market..wanaweza kukutumia mzigo wako hata huko Mwanza
 
Wadau hii biashara kwangu ni pasua kichwa sijui nimekosea location au nini? bado haijanikwamua kabisa.
 
Wakuu Mimi naumizwa na namna ya kufanya monitoring kwenye mapato ya photocopy! Kijana Wa kazi ananipiga maboblish siyo kidogo! Hebu aliyefanikiwa kudhibiti wizi kwenye hii kazi anisaidie mbinu, mwisho nitafunga kijiwe wakuu!

Kuna photo copy zinaandika idadi kwanni usinunue hizo...hata hivyo kuzibiti kazi ya stationery usiibiwe ni ngumu sana.
 
Tedy: Dah hapo umenpa mwanga kaka mana me nataka kufungua stationery bt cna experience xn na kaz hyo. ila naipenda najua unaweza uka2xaidia 2lio na nia ya kufanya kaz hyo.
 
Habarini wadau,

Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya vifaa mbalimbali vya stationery na bei zake tafadhali anisaidie. Nina eneo tayari na mtaji wa milioni mbili kwa kuanzia.

Asanteni
 
Kwa pesa hiyo unaweza kuanza kununua desktop, printer ndogo ya kuanzia, meza, kabati la almnium hapo milioni inakuwa imeisha. Milioni inayobaki nakushauri ununue vifaa vya mashuleni na ofisini ujaribu kuanzia na ukiwa unavuta muda na kujipanga zaidi ili uweze kununua mashine zingine badae. Pia sina hakika kama fremu yako umeshaiandaa na kuirekebisha kuwa ktk muonekano mzuri kama tayari jaribu kufata ushauri niliokupatia.
 
Back
Top Bottom