Bhbm
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 714
- 208
Habari wana jf. Tafadhali naomba msaada wa ushauri. Ni kiasi gani cha pesa naweza kuanzia kama mtaji katika biashara ya kukopesha pesa kwa wafanya biashara wadogo, na je ni process gani za kufuata ili kufungua hiyo biashara? Natanguliza shukurani wapendwa.