Biashara ya micro-finance au micro-credit.

Bhbm

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
715
208
Habari wana jf. Tafadhali naomba msaada wa ushauri. Ni kiasi gani cha pesa naweza kuanzia kama mtaji katika biashara ya kukopesha pesa kwa wafanya biashara wadogo, na je ni process gani za kufuata ili kufungua hiyo biashara? Natanguliza shukurani wapendwa.
 
Jamani hakuna mwenye nondo za hii kitu? nami naisubiri kwa hamu sana hii elimu au ndio mambo ya weekend wakubwa wamepumzika, ngoja tusubiri jumatatu
 
Habari wana jf. Tafadhali naomba msaada wa ushauri. Ni kiasi gani cha pesa naweza kuanzia kama mtaji katika biashara ya kukopesha pesa kwa wafanya biashara wadogo, na je ni process gani za kufuata ili kufungua hiyo biashara? Natanguliza shukurani wapendwa.

Mkuu, biashara ya kukopesha (Micro lending and Microfinance institutions) kimsingi is supposed to be regulated na Benki Kuu ya Tanzania. Lakini kwa sasa hivi BOT haijaanza ku regulate kama inavyofanya kwa mabenki na Bureau de Change. hivyo, unachotakiwa kufanya ni kuandikisha a limited liability company through BRELA na baadae pata letter of no objection kutoka BOT baadae chukua leseni ya biashara kutoka Wizara ya Biashara na
Viwanda.

Kwa sasa hakuna minimum capital requirement kwa ajili ya biashara hii. Kwa hiyo mkuu, changamkia haraka kabla BOT hawajaja na masharti au vigezo vingine lakini lazima utengeneze a comprehensive business plan of at least 3-5 years.
 
Nakushukuru sana mkuu kwa ushauri na ufafanuzi mzuri. Be blessed.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom