Biashara ya maji

mbalu

JF-Expert Member
May 18, 2012
550
242
Salaam jamaa wote.
Naomba mwenye kujua gharama za kuandaa chupa ya maji ya 1Lt toka usafishaji wake mpaka packing ikiwa na lebo na vibali vyote husika.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Salaam jamaa wote.
Naomba mwenye kujua gharama za kuandaa chupa ya maji ya 1Lt toka usafishaji wake mpaka packing ikiwa na lebo na vibali vyote husika.

Natanguliza shukrani zangu.

mkuu kama vip chek hii,kama tunaweza kushare mimi nina kila kitu kuhusu biashara ya maji
yaani.
licince
TFDA
TBS
LABLES km pc 3000
pia uzoefu wa kupata materials na soko la maji.
mimi sina mtaji na sehemu ya kufanyia kazi yaani factory nipo dsm
tuwasiliane 0769178583
 
Asante Mkuu.
Kwa sasa bado najaribu kuona itagharimu sh ngapi na vitu gani vitahitajika, hivyo kama unao uzoefu ni vema ukaniwekea hapa. Je nitahitaji kuwa na nini na nini na kwa gharama kiasi gani ili niweze kuzalisha japo chupa ya lita moja kwa mfano.
 
Hallooo@sangas ma wadau wote wenye ufahamu juu ya hii kitu msaada tafadhali.
 
Asante Mkuu.
Kwa sasa bado najaribu kuona itagharimu sh ngapi na vitu gani vitahitajika, hivyo kama unao uzoefu ni vema ukaniwekea hapa. Je nitahitaji kuwa na nini na nini na kwa gharama kiasi gani ili niweze kuzalisha japo chupa ya lita moja kwa mfano.

itagharimu pesa nyingi sana,kuzalisha chupa moja tu.
kwanza unatakiwa kuagiza mtambo wa kutreat maji,kujaza ktk chupa na kuseal chupa.
chanzo cha maji,upatikanaji wa chupa,lesen,vibali,etc.
bora ingia ubia na jamaa hapo juu kama kweli ana uzoefu anaodai na kama uko serious
 
Niko seriuos lakini siwezi kukimbilia kuingia ubia ambao sielewi nitagharika kiasi gani pesa & muda na nitazalisha nini ndiyo sababu nataka anijibu kwanza kwa kuwa anauzoefu au yoyote anaweza nijibu nitashukuru.
 
Bora umewastukia mapema,hakika ukiingia biashara usioijua kichwa kichwa eti kwa kimvuli cha kuweka share na mtu anayejifanya mzoefu basi mtaji wako utageuka faida kwake huku ww ukirudi kama vile umetoka jela!,nadhani umenielewa hapo....
 
Back
Top Bottom