Ngamba
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 748
- 148
Nenda Wizara ya Kilimo kitengo ch Afya ya mimea, plant Quarantine and Phytosanitary services watakupa taratibu zote za kufuata kuanza biashara hii
Hii ni hatua ya mwisho, kwanza ni kupata soko then unapata clearance kutoka wizara husika
Kama mmoja wetu alivyosema kuna,shida ya kuridhisha soko, na maanisha ubora wa bidhaa ndo huwa shida, yawezekana sisi wabongo tumezoea biashara za chapuchapu bira kuzingatia ubora, kingine bakhresa anasafirisha final product nje,ya nchi ambayo nayo inashida zake ila inalipa zaidi kama ukiweza kupenyeza kwenye soko la nje hapa uganda kuna jamaa ana kampuni ya kahawa ilimuchukia zaidi ya miaka 5 kuweza kupata uhakika wa soko la kahawa yake ambayo anaexport direct various suoermarket in america and europe so he make quite good money and in return,he pay well farmers who in return take care of their coffee plantation to meet the required standard, je twaweza hili????