Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

Ma-legends majibu mnayo lkn hamtupi au mko bize na uzalishaji? Mkipata wasaa mtukumbuke wenzenu kwa ushauri na ideas za kazi. Shukrani!!
 
Mkuu gimmy's uko poa? Business inaendaje? Ebwana na mie napiga hatua za kuingia kwenye business hii sasa hivi, ndo nimechukua mashine zote mbili na Mungu akibariki basi mwisho wa mwaka huu niingie kwenye production!

Please tunaomba ma legend wa hii biashara muwe mnashea uzoefu wenu ili wachanga tusifanye mistakes zisizo za lazima!
Boss naomba unicheki kwa 0786623636 kama ni whatsapp au kawaida.
 
Hiij biashara nilishawahi ifanya na mzee wangu ni kazi nzuri ukiwa na capital ya kutosha. changamoto zake kubwa ni upatikanaji wa mahind hasa kuanzia miezi ya kumi na mbili mpaka wa nne. faida yake sio ya kutisha ila inalipa sana. nyingine ni umeme hasa kwa maeneo ya dar ni taab sana hii inakulazimu mara nyingi kazi ifanyike hata usiku, pia site yakk ingependez iwe eneo karibia na transformer ili uwe unapata umeme wa kutosha. kwenye soko pia mwanzo ni mgogoro sana ila ukishakuwa na jina na hasa ukapata wateja kama wacomoro umepeta.

kitu kingine ni wanafanyakazi, hapa ndio tatizo inabidi upate wafanyakazi waminifu sana na mara ya mwisho ilikuwa kukoboa na kusaga kwa tonne moja ilikuwa ni 2500, hapo bila kushusha mzigo toka garini. ukija kwenye upande wa kusagia wateja hapo ni wewe tu ila jua mashine nying unazoziona dar ni za kusagia wateja na hapa kwang mimi ndo naona inalipa san. mwaka juzi tone moja kusaga na kukoboa ilikuwa ni 30000 na ukiwa na kinu kizuri unaweza futa mzigo wa tonne 30 per 24hrs.

Ila kuna watu temeke wanatengeneza mashine complete set the last time ilikuwa 70mil na per day inauwezo wa tonne60. mara ya mwisho nilipopita stereo ilikuwa haijaanza fanya kazi. kwa ujumla ni kazi nzur sana nikijikusanya lazima na mimi niiifanye. ila in the hot cake ni unga wa ngano sijui wanafanyaje kina azam
Mkuu hapo kwenye bei ya mashine naomba urekebishe ni 70 milion au milion 7?
 
Asante Concordile 101.

Naona.mwenzangu walau una ABC...

Kwangu navuta three phase maana naanza na vitu vikubwa size 100 ya kusaga na roller tatu ya kukoboa na nimejenga nyumba pia ya wafanyakazi of which wataishi pale pale na huo mlango mkubwa wa kiwanda uko sambamba na dirisha la masterbed room hahaha lakin nafikiria kuweka security camera maana always labour ndo changamoto kubwa. Nina store inaweza kuchukua hata gunia 500 za mahindi ila nafikiri inabidi kuyatreat. Ntaomba mwongozo wako mkuu hasa kuepuka mahindi kuoza na unga kupata fungus maana nataka nianze na stock ya walau ton tatu. Pia sijui napata wapi mifuko na lebeling zake na je nilazima usajiri TBS na TFDA?
Mkuu uko sahihi sana wazo lako zuri watu lazima wale so no kuweka mazingira tuu kuwa bora. Na TBS nilazima wakuthibitishie ubora wa kiwanda chako mkuu ili uingie sokoni rasmi.
 
Nimefurahi sana kuona kumbe unachofikiria kuna wengine wanakitekeleza, Kuna siku nitakuja kuandika wazo hili kwa kirefu.
 
Wadau. Nimeisha anza mchakato wa hiyo kitu kwa maana ya jengo ambayo mi nimeiita phase one sasa ndo najipanga kuezeka.

Phase two ni kununua machines ambazo ni full set kusaga na kukoboa pamoja na mizani mikubwa na midogo na packaging materials bila kusahau mahindi ambayo mdo mtaji.

Phase three ni kuanza kazi.

Naomba muongozo au ushauri kwa ambaye either anafanya au anauzoefu na hii biashara japo kwa reaserch ndogo niliyofanya inalipa na nimeamua kuanza at a medium level scale walau nipate market share kias fulan lakin naona changamoto ni nyingi mf kupata mahindi fake, unga au mahindi kuharibika ama kuoza, n.k nk.

Hizo picha ndo mjengo wa kiwanda na bahati nzuri nina eneo kubwa hapa kwangu so nimeona bora nijenge hapa kupunguza gharama na iwe rahisi kusimamia.

Ntashukuru kwa ushauri.
View attachment 174571
View attachment 174572
View attachment 174573
Mimi ni mfanya biashara wa maindi,hivyo kama hutojali,tunaweza fanya kazi pamoja.Kwa maelezo zaidi 0762962872.
 
Nikweli kwenye Kilimo kuna fulsa nyingi lkn Kwenye kilimo km huna mtaji nikujilisha Upepo juzi nilikuwa 88 Moro,na Dodoma,Nilikuta waTHAILAND wanawataka wakulima watakaoweza kulima Mahindi yale zamani yaliitwa YANGA kwaajili yakutengenezea Chakula cha mifugo...wanasema wanamahitaji makubwa ya hiyo kitu lkn km uko peke yako angalau uanzie Eka 30 vinginevyo muwe km kikundi so unaweza kuona Bila mtaji ni Shidaaaaa......
Mkuu una mawasiliano na hao Wathailand unipe?
Mkuu binafsi nafanya hiyo biashara. Wazo la Jawilat ni muhimu sana kama utapata wateja wa jumla ili biashara iende haraka. Pia hakikisha hilo jango lako liko karibu na barabarani ili magari makubwa yaweze kupakua mzigo kiurahi. Kwenye biashara hii pumba ni kama Almasi. Kimsingi ndiyo inayo cover gharama zote za umeme, mifuko na wasagishaji. Kama wakuu walivyosema hapo juu, swala la capital ni muhimu kwa kuwa kuna kipindi mahindi yanaadimika kiasi kwamba unaweza usiende sambamba na mahitaji ya wateja wako. Kumbuka lwa of supply and demand.
 
Jombaa ukidizaini logo unaprint kwenye viroba pia?
Habari mazee. Hapana sifanyi printing jombaa. Me ni designer tu. Unaweza wasiliana nami ili nikuoneshe kazi zangu.
+255 688 999006 (calls, Texts, whatsapp & telegram)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom