Biashara ya internet cafe, max malipo, tigo pesa, mpesa, express passport size inauzwa

mamakibunju

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,009
220
Habari zenu
Nauza Frem yenye biashara YA iNTERNET CAFE, PHOTOCOPY, PRINTING, SCANNING, MAXIMALIPO, WAKALA WA MPESA, TIGO PESA, PIA TUNAPIGISHA PASSPORT SIZE ZA EXPRESS ZA DAKIKA TANO, TUNAZO COMPUTER 9 ,INA CCTV CAMERA AMBAYO IKIFANYIWA CONFIGURATION UNAWEZA KUANGALIA KINACHOENDELEA HAPO KTK FREM UKIWA SEHEMU YOYOTE DUNIANI AS LONG UNA INTERNET CONNECTION KTK CM AU COMPUTER YENYE INTERNET.. Inauzwa Pa
FREM IKO SINZA MAKABURINI, MKATABA UNAISHA MWEZI WA SABA MWISHONI KAMA UNATAKA KUENDELEA ZAIDI YA HAPO NI JUU YAKO KUFANYA MKATABA NA MWENYE NYUMBA, KODI KWA MWEZI NI 300,000, SABABU YA KUUZA NINAHAMIA MKOANI.
Mwenye Kuhitaji ani PM

PS.Nauza Vifaa vyote pamoja na muda wa kodi uliobakia, au ukitaka vifaa vyote pamoja bila kuhitaJi frem pia unakaribishwa, Siuzi kitu kimoja kimoja...
 
Max malipo na line ya mpesa sh ngapi?

loh, maelezo magumu?
mkuu mamakibunju mtu akihitaji kuona kumbukumbu za mauzo ya miezi sita iliyopita inawezekana? pia naomba uniinbox picha kadhaa za ofisi ndani na nje, na orodha na specs za vifaa vilivyomo, bila kusahau asking price. Fremu ina ukubwa gani na ina ofisi au ni chumba kimoja tu? asante
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu
Nauza KTK FREM UKIWA SEHEMU YOYOTE
FREM IKO SINZA MAKABURINI, MKATABA UNAISHA MWEZI WA SABA MWISHONI KAMA UNATAKA KUENDELEA ZAIDI MWEZI NI kimoja...

mkuu weka maelezo vizuri taja pia na bei!!

tupia na picha kazaa kazaa!
 
loh, maelezo magumu?
mkuu mamakibunju mtu akihitaji kuona kumbukumbu za mauzo ya miezi sita iliyopita inawezekana? pia naomba uniinbox picha kadhaa za ofisi ndani na nje, na orodha na specs za vifaa vilivyomo, bila kusahau asking price. Fremu ina ukubwa gani na ina ofisi au ni chumba kimoja tu? asante

Ukitaka kuiona ni PM nikakuonyeshe, Chumba ni kimoja tena chembamba kweli kama coridor lkn tukidesign imetoka sehemu ya wateja kukaa kuna mlango wa aluminium ambako kuna counter ya muhudumu ina mlango na kidirisha cha wakala ni aluminium humo kuna master computer, na vifaa vingine kama printer, scanner, n.k
soon nitakudondoshea picha bei nitaku inbox...
 
IMG-20140227-WA008.jpg IMG-20140227-WA007.jpg IMG-20140227-WA011_edit.jpg IMG-20140227-WA010_edit.jpg IMG-20140227-WA011.jpg IMG-20140227-WA011_edit.jpg IMG-20140227-WA019.jpg IMG-20140227-WA015_edit.jpg IMG-20140227-WA027_edit.jpg IMG-20140227-WA022.jpg IMG-20140227-WA021.jpg IMG-20140227-WA022_edit.jpg IMG-20140227-WA017.jpg
 

Attachments

  • IMG-20140227-WA020.jpg
    IMG-20140227-WA020.jpg
    53 KB · Views: 121
Back
Top Bottom