Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

Zeru

Senior Member
Jul 20, 2018
186
64
Habarini ndugu zangu,

Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho

(i)Cement, misumari, binding wire, kench wire
(ii)Na hii ya kuuza vifaa vya kwa ajiri ya finishing ambavyo n gypusum powder, crew, board, rangi(emulsion+plascon under coat), mikanda pmj na board.

Hii mill 3 n mtaji tu ndugu zangu ela yakutafutia frem ninayo nayo laki tatu
 
Habarini ndugu zangu,

Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya Mkonze, Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho

(i)Cement, misumari, binding wire, kench wire
(ii)Na hii ya kuuza vifaa vya kwa ajiri ya finishing ambavyo n gypusum powder, crew, board, rangi(emulsion+plascon under coat), mikanda pmj na board.

Hii mill 3 n mtaji tu ndugu zangu ela yakutafutia frem ninayo nayo laki tatu
 
Habarini ndugu zangu,nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa dodoma,sehemu ya mkonze,je kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)cement, misumar, binding wire, kench wire ya pili (ii)na hii yakuuza vifaa vya kwa ajiri ya finishing ambavyo n gypusum powder, crew, board, rangi(emulsion+plascon under coat), mikanda pmj na board.hii mill 3 n mtaji tu ndugu zangu ela yakutafutia frem ninayo nayo laki tatu
Anza taratibu ukiwa smart utaakuwa, kuna producers wa vitu wanatoa vitu kwa credit
 
Milioni tatu ukitoa tozo utabaki na milioni 2 na laki 6,kila la kheri mkuu
Mkuu hiy mill 3 n ya mtaji kama mtaji ela sijui ya frem,pmj na issue sijui za lesen nayo namazaga zanga mengine nimeshaitenga kivyake
 
Million tatu uongo chief hata kama frem unayo , bado utaenda Kwa kujivuta Sana , akija mtu anayetaka kumaliza nyumba yake ya vyumba vitatu utaishia kuaibika tuuu
 
Habarini ndugu zangu,

Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho

(i)Cement, misumari, binding wire, kench wire
(ii)Na hii ya kuuza vifaa vya kwa ajiri ya finishing ambavyo n gypusum powder, crew, board, rangi(emulsion+plascon under coat), mikanda pmj na board.

Hii mill 3 n mtaji tu ndugu zangu ela yakutafutia frem ninayo nayo laki tatu
Mzee sikukatishi taama ila angalau ungeewekeza milion tano au San kwa kuanziaa

Hap ujanimu maashine ya tra Wal ujalipa jiji mzee kumi huna sikuoni mbele

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ila pambana mkuu ukishafikungua watu watakuletee mizzigo yao kwa credit utasukuma tu wee Anza mm nilikuwa na Saba nikashindwa kuanza kipind kile ndio jij linaanza kujengwa yaani najuta mpk sas kwani ningekuwa mbali mm nasema anzaa mkuu uko uko utapambana na tra na maamlak zote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuw natak kubase kwa upande wa gypsum kiongoz yaan niuze powder,board,rangi kam emulsion,fiber tapes na mikanda hivyo tu ndugu yangu

Emulsion ndoo 100
2450000
Ili uweze kuuza kwa faida

Hapo anza tu na vifaa vidogo vidogo
 
Nilikuw natak kubase kwa upande wa gypsum kiongoz yaan niuze powder,board,rangi kam emulsion,fiber tapes na mikanda hivyo tu ndugu yangu
Hapo sawa naunga mkono.. Anza ivo kwa kua na specific niche.
 
Mkuu hiy mill 3 n ya mtaji kama mtaji ela sijui ya frem,pmj na issue sijui za lesen nayo namazaga zanga mengine nimeshaitenga kivyake
Anza na kitu kimoja kwanza. Mfano misumari tu, cement tu, nk.
 
Back
Top Bottom