Biashara ya familia mpaka sasa kizazi cha nne ipo hai hawa watu weupe wametengeneza standard ya kwao kivyao.

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,015
12,282
20240119_185244.jpg

"Hii ni biashara ya familia walianza babu zetu ambao mpaka sasa wameshafariki na sisi ni uzao wa tatu na huyo tunaemuona ni kizazi cha nne anaweza akachukua akaendeleza. Matumaini yetu amemaliza chuo juzi lakini ataanzia ngazi za chini atafanya kinachotakiwa halafu akifanikiwa atachukua kazi zetu lakini hii ni biashara ya familia ilianza 1930 au 1940" - Hatim J Anjari - Mkurugenzi Mkuu Anjari Soda Factory Ltd
 
Kutengeneza biashara ambayo itadumu vizazi na vizazi sio kazi ndogi hasa kwa ngozi nyeusi. Yapo mambo mengi sana yanachangia bishara hizi kufa mapema ikiwa ni pamoja na nyingi kuendeshwa bila mpango maalumu yan biashara inaenda ili ikidhi mahitaji ya familia basi lakini haina succession plan na hapa ndipo hawa wahindi na waarabu wanapotuzidia
 
Tutazunguka lakin shida ni

#1, wingi wa familia, baba akifa mali zinakuwa za ukoo, mara baba mkubwa sijui mjomba, tofaut na wenzetu baba akifa mali inabaki ya familia tu

#2. Familia kuwa na watoto wengi, familia mzee ana watoto 12 kwa mama watano,
No way utawaweka hawa kwenye kampuni moja wafanye kazi, hata wawe wazungu hawatoboi

#3. Malezi yetu tu jinsi yalivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom