Biashara ya duka la aluminium

Saad30

JF-Expert Member
May 26, 2020
1,818
3,638
Wakuu nahitaji kujua ni shilingi ngapi zinatosha kuanzia kufungua duka la vioo na aluminium?
 
Ukitaka kuifanya vizuri usiwe na chini ya milion nane lakini ukiwa na milion 15 mpaka 20 hapo utatengeneza faida sana. Kila seal na jamhukosi faida ya 3000 mpaka 6000, mosquito zinauzwa jumla 8000 we unauza 11000 mpaka 12000.

Bado kuna zile mosquito rubber na rubber za vioo, kuna lock, kuna fesna, kuna roller, ila kama ni vioo tu hata milion moja unaaza as long as unauza vya kukata siyo sheet zima zima.

Sheet milimeter 4 unanunua 45000 unauza 53000 halafu 5mm unanunua 53-55000 unauza moka 60000-65000
 
Upo vizuri boss kudos
 
Allah akuongezee ulipopungukiwa
 
Hii kwa anayetaka kuuza, nadhani anazumzia waunda vitu vya alminium na vioo
 
Nilidhani anasema duka la kuuza vitu, kama ni karakana ya kutengeneza aluminium madirisha na milango hata milioni tatu minimum inatosha maanza atahitaji kununua mashini zito aina nyingi ila Makita akipata OG inakuwa poa ile kubwa na ndogo maana zile ndogo hazikati profiles za cm 10. anunue drill, screw driver machine ya livert, glass cutter ndo vitu vya muhimu na meza za kufanyia kazi.
 
Mkuu inaonekana upo vema kwenye hii industry.
Naulizia tu ni wapi ntapata aina hizi za profile
71rN+mq4H5L._AC_SL1500_.jpg
 
Back
Top Bottom