KINGNCHUM New Member Jan 12, 2024 1 3 Jan 12, 2024 #1 Tupeane uzoefu jinsi ya kufungua biashara ya duka la alminium na vioo, mtaji kiasi gani unahitajika, changamoto zake na ni vitu gani vya kuanza navyo.
Tupeane uzoefu jinsi ya kufungua biashara ya duka la alminium na vioo, mtaji kiasi gani unahitajika, changamoto zake na ni vitu gani vya kuanza navyo.
ILISACHA JF-Expert Member Oct 29, 2019 1,977 3,524 Jan 21, 2024 #2 Wajuvi wa hii bidhaa njoo please mfunguke.