Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 2,851
- 4,637
wanajamvi habari zenu
Mimi ni kijana ambae natafuta wateja wa Asali
Asali hii ni ya tabora kwa wanaojua au kusikia kuhusu asali ya tabora wanajua ilivo haina uchakachuaji wowote ni asali halisi kabisaa
Bei ya Asali kwa lita ni 12,000tsh ila nigependelea zaidi kwa wanunuzi wa jumla kama kuanzia lita 20
Nawasilisha kwa mawasiliano zaidi ni PM tuongee