Sina pa kwenda
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 113
- 15
Habari zenu wana jamvini, mie naomba kuuliza watu wengi siku hizi wanasema Uturuki kuna vitu vizuri kwa ajili ya biashara yaan kununua na kupeleka sehemu kwa ajili ya kuuza, hivyo nilitaka kujua kama ni kweli suala hilo ni kweli ili na mie niweze kujiingiza uko kwa business. nijue na hapa kwetu kuna ubalozi wa uturuki, na kujua rates zake za fare na n.k