nampenda sana huyu bibi ila angepumzika kuimba
napenda sana anavyotamka ELIZABEETH, huyu bibi anambwembe balaa"nimeanza kuimba mtoto wa miaka 10,sikufundishwa na mtu,nimejifundisha kwenye majahazi..uimbaji unatokea humu(kichwani)...Mpaka Marekani kote nshafika...mpaka kwa marikia Mtukufu elizabeeth...!!!!"
napenda sana anavyotamka ELIZABEETH, huyu bibi anambwembe balaa
sigara gani hiyo? Embassy, spotsman au sm?alikuwa ameshapata ile sigara yake anayoipenda
napenda sana anavyotamka ELIZABEETH, huyu bibi anambwembe balaa
KUNA VITU VINAKUWAGA
KAMA COCAIN! UKIIIACHA
waweza kufa!