Bi kidude

vengu

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
729
528
"nimeanza kuimba mtoto wa miaka 10,sikufundishwa na mtu,nimejifundisha kwenye majahazi..uimbaji unatokea humu(kichwani)...Mpaka Marekani kote nshafika...mpaka kwa marikia Mtukufu elizabeeth...!!!!"
 
Bi kidude yuko vizuri kwa kweli.Heshima kwake popote alipo kwa sasa:poa
 
"nimeanza kuimba mtoto wa miaka 10,sikufundishwa na mtu,nimejifundisha kwenye majahazi..uimbaji unatokea humu(kichwani)...Mpaka Marekani kote nshafika...mpaka kwa marikia Mtukufu elizabeeth...!!!!"
napenda sana anavyotamka ELIZABEETH, huyu bibi anambwembe balaa
 
Napenda anavyosema uimbaji unatokea humu(anavyogonga kichwa) full mbwembwe.
 
Huyu bibi ni nomaa! Yan nampenda sana..umri wake ni kivutio tosha!
 
KUNA VITU VINAKUWAGA
KAMA COCAIN! UKIIIACHA
waweza kufa!

Ni kweli flora. Kama alianza kuimba akiwa mtoto mdogo wa miaka kumi uimbaji ni sehemu ya mwili wake. Akiacha anaweza kupata matatizo. Mengi ya matatizo hayo yatakuwa ya kisaikolojia.Keshakuwa addicted to singing!
 
Hana majungu huyu bibi akitaka kukupa maneno.haogopi wewe nani. Kwenye nyimbo ya Ahmada umelewa alikuwa anamwimba Karume Jr Raisi wa Zanzibae 2000- 2010. Nasikia ile shepu kwa whisky ni balaa
 
Kuna anayejua umri wa huyu bibi? Mimi nilimuuliza akaniambia ana miaka zaidi ya 120 ila sikumuamini.
 
Umetoa neno la busara sana
Mungu kamjaalia umri mrefu akiitumikia dunia, sasa umefika wakati ashauriwe afanye ibada kama inavyohitajika. Mwenyezi Mungu anamchukia zaidi mzee afanyae mambo yanayomuudhi kuliko kijana. Bi Kidude ni Muislam kwa asili, amrejee mungu kwa amali njema
 
Ni kweli ili akifariki aungane na watakatifu huko peponi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom