BEWARE: What Is This Smell over Dar es Salaam ?

usafi wa mtu huanzia mwilini mwake,ndani mwake nk, sasa tuna hulka ya kutojali mazingira jiji litanuka milele.Miundo mbinu ya jiji, mfumo wa maji taka haukidhi ongezeko la watu .Moshi mji umepangika, una wafanyakazi wanaojali kazi zao namanisha hao wa manispaa na pia wakazi wake wamejifunza ustaarabu.Kwa dar itachukua miaka mia.kazi bado ni kubwa wajamini.cha kushangaza kila mtu anangangana kubaki dsm. shauri yenu mnalalamika nini????
 
Hii list si kamili. mbona Golden Tulip haimo? Well, ukweli ni kwamba mji ni mchafu, either ampisilin, mikojo ya bia, etc. Mara nyingi, mfano, kama wazazi ni wachafu, hutegemei master bedrum iwe safi, therefore nyumba nzima - in this case, IKULU is the case. Achilia mbali uchafu uliojaa vichwani mwa hao wanaotakiwa wauondoe huu unaoonekana. SO HARUFU ITAENDLEA, NA HATA HUKO SAO HILL ISHAFIKA hujakokotoa tu...

Mkuu angalia hii link hapa chini, uchafu hauna dini wala utaifa...

TripAdvisor's 2011 Top 10 Dirtiest Hotels
 
Back
Top Bottom