BETWEEN MEN N' WOMEN,WHO CHEAT MORe?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,523
Guys,letc be honest on this one. We all know dat mwamba ngoma ngoz huvutia kwake but lets be honest n speak the truth. Usiseme just kutetea jinsia yako,naomba 2wekane wazi kuhusu hili swala kwamba kati ya wanaume na wanawake ni wapi wanaongoza kutoka nje ya mahusiano yao? Iwe ni ndoa au courtship. Kila mtu ni wazi ana mtazamo wake kwaio ningependa 2jadili,na vilevile ni sababu zipi zinamfanya m2 kucheat?
 
Someone,who is either a he or a she but not men or women!

I hate generalization

Sababu kwa 100% ni tamaa za mhusika mwenyewe
 
Speaker we are on the same boat,someone who is either HE or SHE.
Thanks Finest!

Any he or she here? give us your candid opinion.We are waiting!

Speaker
Ungekuwa mwalimu, ningeandika jina langu kwenye pepa na kutoka nje maana maswali yako yangekuwa hayaeleweki!
 
Thanks Finest!

Any he or she here? give us your candid opinion.We are waiting!

Speaker
Ungekuwa mwalimu, ningeandika jina langu kwenye pepa na kutoka nje maana maswali yako yangekuwa hayaeleweki!

hahaha,complications or?
Nop,ni kuweka mambo sawa tu ingawa najua yakiwekwa mwanzoni namna hii yanaua discussion kabisaaaa
 
kiukwel mie cjaelewa,hapo kwenye he and she. Naomba mfafanue vizur
 
Guys,letc be honest on this one. We all know dat mwamba ngoma ngoz huvutia kwake but lets be honest n speak the truth. Usiseme just kutetea jinsia yako,naomba 2wekane wazi kuhusu hili swala kwamba kati ya wanaume na wanawake ni wapi wanaongoza kutoka nje ya mahusiano yao? Iwe ni ndoa au courtship. Kila mtu ni wazi ana mtazamo wake kwaio ningependa 2jadili,na vilevile ni sababu zipi zinamfanya m2 kucheat?

Hii ishu watu hawaiangalii kwa undani bali hupapasapapasa tu.Ugonjwa unapojitokeza huwezi kuushinda bila kujua chanzo.Ukiona mtu ana homa ukaanza kumpa asprin/panadol tu bila kupima ukajua ni malaria au typhoid unajidanganya.

Pa kuanzia, badala ya kushindanisha nani anatoka zaidi, ingekuwa mimi mwanzisha mada ningeomba watu wajitokeze na kutoa maoni au hata uzoefu wao kuhusu nini kiliwasukuma kutoka nje ya mauhusiano.

Nijuavyo mimi mwanamke kwa kawaida hatoki bila sababu kubwa sana ya msingi.Mwanamke akipata mtu committed hubaki naye bila kupepesa macho nje na wala hatashawishika kirahisi. Nimeongea kama mwanamke. Najua (kwa kuskia) kwamba wanaume hutoka kwa sababu ya tamaa walizo nazo zaidi hata kama wanakuwa na mwanamke committed.Wajisemee wao wenyewe
 
Tausi sio vyema sana kugenerolaiz mambo tambua kuwa wapo pia wanawake wanaotoka nje kwa tamaa tu kama na pia wapo wanaume wasiopenda kutoka nje.
 
Cheating :ballchain: experienced cheater, cheates more. He or she might be smart on that category!
 
Mzeewaloliondo, I think I cheat more than my Girlfriend. but That doesn't mean all men are cheating like me!
 
haaah haaah jaman madem wanaongoza bana, wadada na pete zao za ndoa bado wanapigwa nje sembuse hawa walinpo kwa uhusiano tu!
 
Back
Top Bottom