all is well, all is well, all is well!
best wishez mumie....
Mhhh sina nia mbaya kabisa Vin Diesel
Najaribu tuu kucooect dot nipate mstari ulioonyooka
Kila nikijaribu kuconnect dots zinaishia njiani na kukataa kutengeneza mstari
Hebu nitakutafuta on private matter unipe siri ni nini kinaendelea
Mkuu usitumie penseli ku connect dots...tafuta marker pen.
Vin Diesel hapa natumia marker pen
dot zinaishia njiani kunijulisha kuwa kuna sehem nimemiss something
Halafu uliniambia kama namtafuta Husninyo nikuone
hebu funguka sasa is she available just for a cup of coffee somewhere in town
all the best wifi....
mmmmh......Husninyo si alishaga ondoka jamani??
Au kuna Husninyo mwingine??
Kumbe Husyn yuko fomu foo B.
Best wishes
She is currently occupied...remind me on 30th june...
All the best
mmmmh......Husninyo si alishaga ondoka jamani??
Au kuna Husninyo mwingine??
Kimodo mambo? Haswaa huu ndo muda niliokuzoe kukukuta busatini!
Hua nastukaje nikikuona mchana! Pamoja na hayo vipi hali ?
Hivyo vya Husn kwng ni hadithi za kusadikika!
Sikuwa najuwa mkuu,kweli humu ndani kuna watu tofauti.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Ndugu wapendwa,mnakumbuka farewell speech ya husn? Mnamkumbuka 'mzee' aliyemsababishia alikimbie jamvi? Huyu vin diesel kweli sio huyo mzee?