!!!!! Best Wishes Husninyo!!!!!

Wewe una dalili za kutaka kuvunja ndoa ya Husninyo na mumewe...isitoshe na yangu ipo shakani kutokana na ufukunyuku wako....
Ukitaka kumpata Husninyo utampata kupitia sie ndugu zake.
Currently she is on sabbatical kama ya guardiola...

Mhhh sina nia mbaya kabisa Vin Diesel
Najaribu tuu kucooect dot nipate mstari ulioonyooka
Kila nikijaribu kuconnect dots zinaishia njiani na kukataa kutengeneza mstari
Hebu nitakutafuta on private matter unipe siri ni nini kinaendelea
 
Mkuu usitumie penseli ku connect dots...tafuta marker pen.
 
Mkuu usitumie penseli ku connect dots...tafuta marker pen.

Vin Diesel hapa natumia marker pen
dot zinaishia njiani kunijulisha kuwa kuna sehem nimemiss something
Halafu uliniambia kama namtafuta Husninyo nikuone
hebu funguka sasa is she available just for a cup of coffee somewhere in town
 
She is currently occupied...remind me on 30th june...
 
mmmmh......Husninyo si alishaga ondoka jamani??
Au kuna Husninyo mwingine??

Kimodo mambo? Haswaa huu ndo muda niliokuzoe kukukuta busatini!
Hua nastukaje nikikuona mchana! Pamoja na hayo vipi hali ?
Hivyo vya Husn kwng ni hadithi za kusadikika!
 
Kimodo mambo? Haswaa huu ndo muda niliokuzoe kukukuta busatini!
Hua nastukaje nikikuona mchana! Pamoja na hayo vipi hali ?
Hivyo vya Husn kwng ni hadithi za kusadikika!

Naona unahamisha majeshi mdogo mdogo....kila la kheri...
 
Ndugu wapendwa,mnakumbuka farewell speech ya husn? Mnamkumbuka 'mzee' aliyemsababishia alikimbie jamvi? Huyu vin diesel kweli sio huyo mzee?

Ha ha ha...mie sio huyo mzee mkuu....ndio maana nipo current na affairs zake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom