Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

Kwa hiyo kimsingi, kwa kutumia rhetoric questions, unakubali kwamba hao wote hawakuwa wamefanya kitu. Na unataka kutumia hili kama kigezo kwamba tukubali mtu mwingine ambaye hana record ya kufanya chochote cha maana achaguliwe kuwa rais? Two wrongs do not make a right, kama watanzania walikosea kuchagua watu wasio na rekodi yoyote hapo mwanzo, haimaanishi kwamba waendelee kufanya hivyo. Einstein alisema kichaa ni kuendelea kufanya kitu kile kile halafu kutegemea matokeo tofauti, usitake kuendekeza kichaa unless umeridhika na umasikini wetu.

Kwa hiyo you would rather have a handsome and charming president who is an airhead than a balding ugly policy wonk who can deliver sio?

Kwa hiyo huyu Membe anayepiga kelele za kuoteshwa ndiye debe tupu sio? Uliona uchaguzi wa 1995 walivyochuana watu halafu Mkapa akaingia dakika ya mwisho na kuchukua nomination kiulaini? Basi na 2015 itakuwa hivyo hivyo, hawa kina Membe wanaanza lele tu, wazee wa kazi hata huwasikii mapema hivi.

Mkimpata Membe, mkimpata Lowassa, imekula kwenu. Mifano yako inamuonyesha Membe kama huyo mtu anayesema "mshikeni ntamuumiza" (refer "watakimbilia Kenya") kwa hiyo unachoona kama confidence on the part of Membe, wachambuzi wa mambo ya siasa tunaona ni gimmick tu, complete with kuoteshwa which is rather old, actually dating back to the Pharaohs, The Chinese rulers and the Babylonians, even if we are talking gimmicks, he needs a newer gimmick.

Kwa sababu hatuchagui Miss Tanzania. Hata huyo Miss Tanzania watu huangalia substance pia, si confidence tu.

Na mtu mwenye confidence hasubiri kuoteshwa bwana.
RIP BCM
P
 
Yale yale ya JK 2005!

Membe ana rekodi gani huyu? Na unasema atatusaidia kupata ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania - atatusadia kivipi?

Keshafanya mambo gani katika utumishi wake wa umma na katika positions alizowahi kuzishika yanayokufanya wewe uwe na matumaini naye kuwa yeye ndiye the one?
RIP BCM
P
 
Mkuu ukweli ni kwamba anaongea kwa namna anavyowafahamu watanzania,nadhani hiyo ndo silaha kubwa ya ccm. Hiyo statement inaweza ikawa inarelate na wananchi wengi kuliko unavyofikiri.

Kama hii mimovie tunayoishuhudia na ambayo tumeshayashuhudia lakini yamesahaulika kabisa.Viongozi wa ccm wanawafahamu sana watz...

So therefor watanzania wengi wana matatizo ya kisaikolojia...Kama ni kweli sisi ni nchi ya pili kwa umasikini duniani,basi matatizo hayo uliyoyataja ni just a norm.
RIP BCM
P
 
Katika kipindi cha Dakika 45 ITV Mh Membe anaonekana kuongea kwa hisia na uwazi sana kuhusu maisha yake ya kisiasa pamoja na mvutano uliopo kati yake na mahasimu wake.

Anasema iko siku atawataja peupe kwa majina na sura zao. Nauona undani wa Membe hapa.

He seems to be innocent amidst wolves. Tuombe siku ifike na yeye afunguke.
Waziri hawafi - mzee makamba.
 
Nimemsikia for the first time he looks genuine and determinant kuwalipua!. Kwa vile alishagabatizwa kuwa yeye ni "Joka la mdimu", wakimaanisha he is only a "barking dogs, seldom bite", kwa jinsi nilivyomsikia akiongea kwa msisitizo, naamini this time itakuwa kweli, na ata prove beyond reasonable doubt kuwa yeye sio "joka la mdimu"!.

Sikufurahishwa alipowataja "Chadema wameenda kwake na njaaa zao, akawapa chakula"!.
Nimependa alipowataja wabaya wake 11 wakiwemo waandishi wa habari wawili na kuahidi muda muafaka ukiwadia, atawalipua kwa kuwataja hadharani!.

Pia nimeipenda ile ya sababu za yeye kuandamwa na hao wabaya wake, ni kwa sababu wao wana jicho la tatu la kuona 2015 itakuwaje, hivyo fitna zote ili ili kumzuia` na kitakachotokea 2015 na kutoa 'ole' kali kuwa "ole wao asioteshwe" kwani akioteshwa...(watakiona cha mtema kuni-emphasis mine!)

Pia nimeipenda confidence aliyoionyesha na sound ya "commanding voice" na "authority" kuthibitisha anaweza kuwa amiri jeshi mkuu!.

Kwa sisi tunaopenda mageuzi ya kweli ya nchi hii, nawashauri tuweke sala zetu kwa umoja wetu ili Membe aoteshwe na tumpigie debe la nguvu ili awe mgombea wa CCM, candidature yake ni muhimu sana kutupeleka kwenye ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!.

Tuombee CCM imsimamishe Membe kwa vile itamtisa EL, then EL atacross upande wa pili, hivyo hili joka la mdimu ni jepesi kama unyonya, hata kupulizwa tuu na upepo linakwenda chini, hivyo Benard Membe atatufaa sana kama the pace maker wetu kwenye mbio ndefu.

CCM go for Membe for 2015, ili Tanzania ipate ule ukombozi wa pili wa Mtanzania.
Pasco
Duh
 
Duh...
Hatari sana. Uzi wa 2012 ila mzito
 
Vilaza siku zote wanawaza maadui wao kama watu.

Vipanga siku zote wanawaza maadui zao kama ideas.

Ndiyo maana ukimsikia mtu kama Nyerere akiongelea maadui anaongelea umaskini, magonjwa na ujinga. Wengine wanakwambia maadui watakimbilia Kenya.

Kama huu ndio uongozi wenyewe, basi tunarudi nyuma.
Hii Ndio Komenti nzuri kabisa ambayo inaeleza kwa kifupi kabisa kila kitu
 
Nimefurahi as days goes by, unazidi kumature into a real good politician, sasa ndio umepata uwezo to read in between the lines, hili ni bandiko la 2012!, hiyo duh yako, ndio massage kwangu kuwa sasa you can read in between the lines.
Hongera na pole sana kwa msiba!.
P
 
Nimemsikia for the first time he looks genuine and determinant kuwalipua!. Kwa vile alishagabatizwa kuwa yeye ni "Joka la mdimu", wakimaanisha he is only a "barking dogs, seldom bite", kwa jinsi nilivyomsikia akiongea kwa msisitizo, naamini this time itakuwa kweli, na ata prove beyond reasonable doubt kuwa yeye sio "joka la mdimu"!.

Sikufurahishwa alipowataja "Chadema wameenda kwake na njaaa zao, akawapa chakula"!.
Nimependa alipowataja wabaya wake 11 wakiwemo waandishi wa habari wawili na kuahidi muda muafaka ukiwadia, atawalipua kwa kuwataja hadharani!.

Pia nimeipenda ile ya sababu za yeye kuandamwa na hao wabaya wake, ni kwa sababu wao wana jicho la tatu la kuona 2015 itakuwaje, hivyo fitna zote ili ili kumzuia` na kitakachotokea 2015 na kutoa 'ole' kali kuwa "ole wao asioteshwe" kwani akioteshwa...(watakiona cha mtema kuni-emphasis mine!)

Pia nimeipenda confidence aliyoionyesha na sound ya "commanding voice" na "authority" kuthibitisha anaweza kuwa amiri jeshi mkuu!.

Kwa sisi tunaopenda mageuzi ya kweli ya nchi hii, nawashauri tuweke sala zetu kwa umoja wetu ili Membe aoteshwe na tumpigie debe la nguvu ili awe mgombea wa CCM, candidature yake ni muhimu sana kutupeleka kwenye ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!.

Tuombee CCM imsimamishe Membe kwa vile itamtisa EL, then EL atacross upande wa pili, hivyo hili joka la mdimu ni jepesi kama unyonya, hata kupulizwa tuu na upepo linakwenda chini, hivyo Benard Membe atatufaa sana kama the pace maker wetu kwenye mbio ndefu.

CCM go for Membe for 2015, ili Tanzania ipate ule ukombozi wa pili wa Mtanzania.
Pasco
hii ni makala yangu ya buriani kwa Benard Membe Buriani Benard Membe, Umepigana Vita Vilivyo Vitakatifu, Mwendo Umeumaliza, Imani Umeitunza, Madeni Yako Yaliyobakia Karma Itakulipia!
P
 
Back
Top Bottom