Bernard Membe: Ndoto zake za urais zimejaa Fitna, Visasi na Mbeleko

Status
Not open for further replies.
jk hamtaki membe a.k.a joka la mdimu jk ameshasoma mchezo na kuona membe habebeki...pia mkapa alitaka kumuweka sumaye akashndwa kwa akili ya mtanzania yeyote mwenye akili timamu kumsmamisha membe ni kaburi kwa ccm rais anajulkana kuwa ni lowasa na jk analijua ilo ila anacheza na muda ushaidi ni chaguzi za jumuiya ndani ya chama
 
Hujaelewa nini MANDIETA na wenzako Kichwa cha habari hujaksoma au umeingia na miwan ya mbao kwenye topc..ishu ni kwa nn membe anafadhili kuwang'oa kucha na meno watu katika mbio zake za kutafta urais asio na ubavu nao mbele ya makoredi wazoefu wa mikakat kama lowasa na silaha
 
jk hamtaki membe a.k.a joka la mdimu jk ameshasoma mchezo na kuona membe habebeki...pia mkapa alitaka kumuweka sumaye akashndwa kwa akili ya mtanzania yeyote mwenye akili timamu kumsmamisha membe ni kaburi kwa ccm rais anajulkana kuwa ni lowasa na jk analijua ilo ila anacheza na muda ushaidi ni chaguzi za jumuiya ndani ya chama
Inavyoonekana wewe ni mfuasi mzuri na muhimu sana kwa Lowassa.
Ni vizuri pia kama unge-Declare Interest katika hilo.

Swali langu kwako ni: Kwanini unadhani Membe hatafanikiwa katika kuupata Urais kwa mikakati yake hii?
Kambi ya Lowassa imejipanga kwa namna ipi kupambana na mikakati ya Membe?
 
Mkuu wewe kweli ndiye Kigogo wa fitina, umemjadili BM katika njia za kifitina tena kwa kuazima fitina wanazotumia kundi la Lowassa hasa raia mmoja mwenye asili ya Somalia (Bashe) halafu unasahau hiki ulichofanya ndiyo fitina, majungu na unafiki.

Kitime kifichomponza ni ufisadi wake aliomshirikisha mkewe katika hili la Kitine nadhani Membe apewe pongezi kwa kumkabili bila woga ofisa mkuu we TISS.
 
CCM 2015 hawana chao ,Hata isimamishe Malaika na CHADEMA wakasimamisha Jiwe bado CHADEMA itashinda.
 
Kwan asipojua kujenga hoja ndo sio kiongozi mzuri??Y do we discuss Personalities?2ngojee policies zao and 2chague who is the best.but from my heart i admire BM habwabwaj maneno eg issues za rwanda,kitime,homosexuality etc
 
Lakini mara kadhaa Membe anatajwa kama mtu anayependa kutumia nafasi yake kiserikali/kisiasa kuwaangamiza wenzake kama njia ya kulipiza visasi.
Mudhihir Mudhihir, Hancy Kitine na Hawa Ghasia ni miongoni mwa watu waliowahi kulalamika kuwa wamefanyiwa FITNA kubwa sana na Benard Membe katika mambo kadhaa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi.

JE ATAWEZA KUFANIKIWA?

Hao wengine sijui kile kilichotokea. Lakini kuhusu Hassy Kitine, je ni Membe ndiye aliyemtuma aibe pesa za Watanzania?
 
Mkuu wewe kweli ndiye Kigogo wa fitina, umemjadili BM katika njia za kifitina tena kwa kuazima fitina wanazotumia kundi la Lowassa hasa raia mmoja mwenye asili ya Somalia (Bashe) halafu unasahau hiki ulichofanya ndiyo fitina, majungu na unafiki. Kitime kifichomponza ni ufisadi wake aliomshirikisha mkewe katika hili la Kitine nadhani Membe apewe pongezi kwa kumkabili bila woga ofisa mkuu we TISS.
Nafikiri umeumizwa sana na uchambuzi wangu, lakini umeshindwa kutumia hoja kunikosoa lakini ukaweza kunibatiza sifa mbaya!!!

*FITNA ZA MEMBE
1/Mpaka sasa ni Membe anayetajwa kuhusika na mikakati haramu ya kuangamiza wanaCCM wenzake Kiuchumi na kisiasa.(Mudhihir, Kitine na Hawa Ghasia wanakiri hili gena hadharani)

2/Huyu ndiye anayedaiwa kuhonga wajumbe wa CCM wamchague yeye na wapambe wake kwenye uchaguzi wa ndani wa CCM lakini wakati huo huo alikuwa anatupia shutuma hizo kwa kambi ya Lowassa.

3/Huyu ndiye alikuwa anataka kutumika hoja ya mahakama ya Kadhi ili kupata uungwaji mkono wa Waislam, alinywea baada tu ya kuonywa na maaskofu!?

4/Membe anadaiwa kutumia TISS kama taasisi yake binafsi kuwaumiza wanaCCM wengine(Ushahidi wa jambo hilo upo)
 
Ninamfahamu membe kama schoolmate wangu,sio ndugu wa kuzaliwa na kikwete kwasababu baba yake membe alikua anaitwa mzee kamilius wa pale chiponda rondo(lindi) na ni mmwera pure kwa maana wazazi wake wote ni wamwera,hayo mengine sipendi kuchangia but in general ninaichukia ccm.
 
Benard Membe ni mwanaCCM anayepigana kufa na kupona kuhakikisha anakuwa mgombea Urais 2015 kwa tiketi ya CCM.

Huyu ndiye mtu pekee kwa sasa ambaye anaota Urais kwa mtindo wa VISASI, FITNA na MBEREKO(Upendeleo).

Benard Membe mwishoni mwa mwaka jana alisikika akisema kuwa ana maadui kumi na moja na wawili ni waandishi wa habari na ikifikia 2016 watu hao watakimbia nchi na kuhamia Kenya!!

Lakini mara kadhaa Membe anatajwa kama mtu anayependa kutumia nafasi yake kiserikali/kisiasa kuwaangamiza wenzake kama njia ya kulipiza visasi.
Mudhihir Mudhihir, Hancy Kitine na Hawa Ghasia ni miongoni mwa watu waliowahi kulalamika kuwa wamefanyiwa FITNA kubwa sana na Benard Membe katika mambo kadhaa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi.

Mbali na hayo, Kambi ya mbio za Urais ya Benard Membe inaamini na kufanya harakati za kisiasa ndani ya CCM kwa njia ya MBEREKO(kubebwa) tena kisultani, hili lilijidhirisha wazi wakati wa chaguzi za ndani za CCM mwishoni mwa mwaka jana ambapo Benard Membe aliponea chupuchupu kuangushwa lakini mwishowe alipita baada ya Familia ya Kikwete kujitoa muhanga kuokoa jahazi dakika za majeruhi.

Familia ya Kikwete kupitia kwa Ridhwan Kikwete ilishatangaza 'rasmi'!! kuwa ipo kambi ya Benard Membe na iko tayari kwa lolote kuhakikisha kuwa Benard Membe anakuwa mrithi wa kiti cha urais 2015.

Mpaka sasa inafahamika na kuaminika kwa baadhi ya watu kuwa Benard Membe na Jakaya Kikwete wana 'undugu' wa aina fulani wa karibu wa kifamilia.

Mpaka sasa Benard Membe na kambi yake ndio wanaofahamika zaidi ndani ya CCM kufanya harakati kwa njia ya FITNA.
Iwe ni kuchafua wenzao, kugawa fedha, kutumia udini, ukanda ama ukabila, Kutumia Usalama wa taifa nk. kwao ni sawa tu ilimladi tu kambi hiyo ifanikiwe.

Huyu ndiye Benard Membe, Waziri wa Mambo ya nchi za nje na Ushirikiano wa kimataifa, pia maarufu kama Joka la mdimu au Nyoka mwenye ndimi mbili.

JE ATAWEZA KUFANIKIWA?

Ndg. LumumbaDAR,

Pole sana. Inaelekea jina la Bernard Membe linakukosesha usingizi wewe binafsi na hao jamaa zako walokutuma.

Ninaamini kuna mambo kadhaa unayaandika hapa kwa maelekezo uliyopewa, ambayo kwa kiasi kikubwa ni ya kupotosha.

Mfano:-

Mimi ni rafiki wa karibu sana wa Membe, na hajaanza kampeni na wala hajawahi kufanya yote hayo kati ya unayoyasema.

Membe mara nyingi sana hayupo bungeni, nchini wala jimboni kwake, sijui lini anayafanya hayo yote unayoyasema.

Membe hajatangaza kugombea Urais, na hata sisi marafiki zake hajatuambia wala kutushirikisha kwenye jambo hilo, nakumbuka alipokuwa anagombea u-NEC mwishoni mwa mwaka jana, aliitaarifu kitchen cabinet yake nayo ilianza kampeni mara moja, hakutumia hela wala fitna ya aina yoyote, kitu ambacho kiliifanya kampeni yetu iwe ngumu kwelikweli...maana wapinzani wake walifanya kampeni chafu na ya rushwa huku sisi tuliokuwa tunamsaidia tulikuwa wanyonge.

Membe hajatengeneza kambi ya Urais hata kidogo, maana angekuwa amefanya hivyo, basi mimi ningeijua na nina hakika ningekuwemo tena at the center of everything. Na ninaamini hajafanya hivyo kwa sababu muda bado na hata hivyo hajatangaza nia hadharani, pengine anasubiri aoteshwe, ama wakati ukifika ataamua ama atatuomba tumshauri.

Mwisho, Ridhwani Kikwete hakufanya kampeni yoyote ile ya Membe kwenye uchaguzi ule na sikumbuki kuona Mhe. Jakaya Kikwete ama Mke wake (First Lady) wakifanya kampeni.

Ninafahamu kuna kambi, ambayo nahisi unatoka wewe, ndiyo iliyoanza kampeni na imetoa hadi vipeperushi! Na kambi hiyo inahangaika kuzunguka mikoa yote kufanya kampeni na kutoa fedha, pia imekuwa ikikutana vikao vya kila mara sehemu mbalimbali.

Regards,
HK.
 
Huko CCM kuna watu wachache wenye akili timamu na mmojawapo ni Membe.Kwa bahati mbaya chama chenu hakipendi watu wa aina hiyo
 
Acheni kumchafua mtoto ws Mzee Kamiliusi kwa tamaa zenu za uraisi afterall BM is much better kuliko huyo fisadi wenu Lowassa btw aliyewadanganya kuwa 2015 raisi anatoka ccm ni nani? nchi tunampa dk wa ukweli
 
Mimi ni chadema pure bt if MEMBE atakuwa candidate wa ccm kwenye uchaguzi 2015, i will vote to him.

MUNGU AMBARIKI MEMBE THE NEXT PRESIDENT.
 
hili uzi halituhusu mi nimepita tu kuangalia usalama kama makamanda wametajwa bahati mbaya ili nilipue kwa makusudi RIP CCM.
 
Mimi ni chadema pure bt if MEMBE atakuwa candidate wa ccm kwenye uchaguzi 2015, i will vote to him.

MUNGU AMBARIKI MEMBE THE NEXT PRESIDENT.

Anafaa kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni kuliko hao wengine wa CCM baada ya uchaguzi mkuu 2015
 
Benard Membe mwishoni mwa mwaka jana alisikika akisema kuwa ana maadui kumi na moja na wawili ni waandishi wa habari na ikifikia 2016 watu hao watakimbia nchi na kuhamia Kenya!!
G
Lakini mara kadhaa Membe anatajwa kama mtu anayependa kutumia nafasi yake kiserikali/kisiasa kuwaangamiza wenzake kama njia ya kulipiza visasi.
Mudhihir Mudhihir, Hancy Kitine na Hawa Ghasia ni miongoni mwa watu waliowahi kulalamika kuwa wamefanyiwa FITNA kubwa sana na Benard Membe katika mambo kadhaa ya kisiasa, kijamii na kiuchumi.

Mbali na hayo, Kambi ya mbio za Urais ya Benard Membe inaamini na kufanya harakati za kisiasa ndani ya CCM kwa njia ya MBEREKO(kubebwa) tena kisultani, hili lilijidhirisha wazi wakati wa chaguzi za ndani za CCM mwishoni mwa mwaka jana ambapo Benard Membe aliponea chupuchupu kuangushwa lakini mwishowe alipita baada ya Familia ya Kikwete kujitoa muhanga kuokoa jahazi dakika za majeruhi.

Nimependa kwenye RED JK HAMTAKI MEMBE A.K.A JOKA LA MDIMU ANAYEMTAKA ILI ALIPE FADHILA NI RTZ NA MAMA SLAMA AMBAYE NI DADA YAKE ILA JK AMESHASOMA MCHEZO NA KUONA MEMBE HABEBEKI...PIA MKAPA ALITAKA KUMUWEKA SUMAYE AKASHNDWA KWA AKILI YA MTANZANIA YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU KUMSMAMISHA MEMBE NI KABURI KWA CCM RAIS ANAJULKANA KUWA NI LOWASA NA JK ANALIJUA ILO
of course ni mpinzani mkubwa kwa Lowassa, ila Six ndo angepewa sifa hizi sio Membe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom