Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,047
- 20,412
Tanzania tuna mabenki mengi, ya Serikali na watu binafisi. Kwa walimu wengi ambao ni wateja wa NMB mtu anaka kwenye foleni masaa 2 mpaka 3 na hakuna huduma ya vyoo, inasemekana hawaweki vyoo kwasababu mteja wa kawaida huwa na fedha kidogo na hivyo hachangii chochote.
Naomba sasa Naibu Waziri Mkuu Tusaidie kuwaomba Hawa mameneja WAJENGE VYOO VYA WATEJA wa mabenki lakini pia waache tabia ya kufunga kamba kwenye kalamu pale counter: Haiwezekani napeleka milioni 20 na ninakuachia kwa kunipa kikaratasi tu ila wewe huniamini kwa kalamu ya shilingi mia tu.
Bank of Tanzania , ambaye ndiye msimamizi mkuu wa mabenki tunaomba kabla ya leseni za mabenki kutolewa, ukaguzi ufanyike na kitu cha kwanza iwe Choo cha wateja.