Benki ya NMB

Maroun MU

Member
Jul 21, 2012
97
4
Mhmhhmmh hii Benki ya NMB ina kero na utendaji wake wa kaiz ni mbovu yn madirisha yapo ma5 na madirisha yanao fanya kazi ni mawili tuu na hiyo foleni yake ni mzunguko wa mistari mitano na hapo hao wawili m1 wapo ameenda kunywa chai...hii ndio faida ya NMB ni tawi la Kariakoo mtaa wa livingstone..na hapo hapo kn tawi mtaa wa Congo near Big Bon tokea mwaka jana hadi leo halijafunguliwa
 
Wala siyo huko Dar tu! Njooni Summit center hapa arusha mwone hiyo balaa! Hivi hapa nilipo nimetoka Clock tower pamejaa, nikaja Summit center kibao na niko kwenye foleni ndo naandika hii thread!!!!!!! Wanasema eti network iko chini !! Wakajifunze kompyuta upya hawa wanaonekana kutokubali mabadiliko ya teknolojia!!!
 
Nikawaida tukokana leo shule nyingi zimefunguliw wazazi na wanafunzi wanawema fedha nilazima ziwe ivyo! Ila clock tower(ARUSHA) saizi hapafai shule nyingi wanamasharti eti kalipe michango ya shule tawi flani tu! Sasa sijui kua ukilipia tawi lingine ela hafiki au sijui ni nini?
 
Ndio maana inaitwa Benki ya Makabwela...

Kabwela huwa hana haraka na wao wanajua wateja wao ni makabwela so wanawahudumia taaaratiiibu. Kama unaharaka nenda Bank za wazungu, Standard Chattered, Baclays et al.
 
Mhmhhmmh hii Benki ya NMB ina kero na utendaji wake wa kaiz ni mbovu yn madirisha yapo ma5 na madirisha yanao fanya kazi ni mawili tuu na hiyo foleni yake ni mzunguko wa mistari mitano na hapo hao wawili m1 wapo ameenda kunywa chai...hii ndio faida ya NMB ni tawi la Kariakoo mtaa wa livingstone..na hapo hapo kn tawi mtaa wa Congo near Big Bon tokea mwaka jana hadi leo halijafunguliwa
Huu ni mwezi january msimu wa ada na kufunga mahesabu ya mwaka jana , kipindi kama hiki huwa mabenki yote makubwa yana foleni na mitandao kukatika mara kwa mara, ijumaa nilitumia kutwa nzima benki ya CRDB, NBC ndio usisema !!!
 
Hii ya kulipa tawi fulani ada ni kali kuliko ina maana ukilipa tawi nyingine au mkoa mwingine hawapokei hiyo slip? waacha mambo yao ya kizamani hayo bwana.
Nikawaida tukokana leo shule nyingi zimefunguliw wazazi na wanafunzi wanawema fedha nilazima ziwe ivyo! Ila clock tower(ARUSHA) saizi hapafai shule nyingi wanamasharti eti kalipe michango ya shule tawi flani tu! Sasa sijui kua ukilipia tawi lingine ela hafiki au sijui ni nini?
 
Ndio maana inaitwa Benki ya Makabwela...

Kabwela huwa hana haraka na wao wanajua wateja wao ni makabwela so wanawahudumia taaaratiiibu. Kama unaharaka nenda Bank za wazungu, Standard Chattered, Baclays et al.

Exim, Bank M na FBME. Hizi hazina longolongo kwa sababu ni za wenye nazo. NMB iko over crowded na ndio sababu server zao huwa zinazidiwa kila saa na kusababisha network kukatika.
 
Hakika ni kero kweli kweli Kamanda wangu!!!!
Hapa A town ni foleni sijawahi kuiona!!!!!
 
Mbona ndo kwanza katikati ya mwezi ama ndo siku hizi hata posho za serikali zinapitishwa huko,mimi enzi zile za boom la chuo mwisho wa mwezi hata kwa fimbo ulikuwa hunipeleki NMB
 
Kuna siku sitasahau nilisimama toka saa 4 asubuhi hadi 11 jioni yaani ni heshima ya yule aliyenituma nimwingizie hela othwz ningeenda zangu kulala 2 home.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mponela, issue sio kukubali mabadiliko, system imezidiwa kupita kiasi na viongozi wakuu hawataki kukubali hilo, kinachotakiwa ni kubadilisha mfumo mzima.
 
Back
Top Bottom