Dar es Salaam: Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa akutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna

Mr Beast

Senior Member
Nov 8, 2023
187
295
IMG-20240222-WA0021.jpg

IMG-20240222-WA0022.jpg

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna akiambatana na viongozi wengine wa Benki hiyo wamekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Innocent Bashungwa, Waziri wa Ujenzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Bi. Zaipuna akiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kukutana na viongozi waandamizi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kuwapa mrejesho wa kiutendaji wa Benki ya NMB kwa mwaka 2023, kuwashukuru na kujadili maeneo ya kuendeleza ushirikiano kwa mustakabali wa Taifa la Tanzania na Watanzania.

Katika kikao hicho, Mhe. Bashungwa ameipongeza Benki ya NMB kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo kupitia Wizara yake na kuahidi kuendeleza ushirikiano uliopo ili kuleta tija zaidi.

Haya yote ni matokeo ya Uongozi uliotukuka wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, ndio sababu Benki hii imetambuliwa pia kama Benki bora duniani katika tuzo za "The GlobalFinance Awards"
 
Hongera sana Rais Samia
Hongera sana NMB,
Hongera Mhe Waziri
Hongera Ms Ruth

Kaziiendelee
 
Naiona NMB kama Benki kubwa sana duniani miaka 15 ijayo kama watakwenda kwa kasi hii.
 
Huyu dada wa NMB anakitu Cha ziada, Ukimtazama hata kwa sura unagundua Kuna kitu Cha ziada toka kwa Mungu amemjalia.

#NMB ENDELEENI KUVIMBA
 
Duuh kwahiyo NMB ni katone tu yaani
Market cap ya NMB inakaribia $1 billion, market cap ya Wells Fargo mojawapo ya benki kubwa duniani nadhani ipo top 6 ni $191 billion. Tusiende kwenye assets.

Hapa Afrika Mashariki mfano Equity Bank ina market cap karibia $1.4 billion na kuna mwaka Equity wakipata faida kubwa kuzidi jumla ya faida ya NMB, CRDB na vibenki vichache vingine bongo.
Benki za Kenya zinapata faida zaidi yetu, sisi bongo tuna usingizi kiasi hata kama benki itafanya vizuri itakwamishwa na kuwa bongo hata investors hawawezi ongeza mtaji. Sasa uweke hela nyingi za kukopesha bongo wakati wakopaji serious hamna na mazingira ya biashara ni magumu.
 
Hizi awamu za hivi karibuni zinawekeza sana kwenye Promo (ingawa bora iliyopita ilikuwa promo 70 utendaji 30) naona hii promo ni 200 % yaani wanakopa nyingine from thin air
 
Market cap ya NMB inakaribia $1 billion, market cap ya Wells Fargo mojawapo ya benki kubwa duniani nadhani ipo top 6 ni $191 billion. Tusiende kwenye assets.

Hapa Afrika Mashariki mfano Equity Bank ina market cap karibia $1.4 billion na kuna mwaka Equity wakipata faida kubwa kuzidi jumla ya faida ya NMB, CRDB na vibenki vichache vingine bongo.
Benki za Kenya zinapata faida zaidi yetu, sisi bongo tuna usingizi kiasi hata kama benki itafanya vizuri itakwamishwa na kuwa bongo hata investors hawawezi ongeza mtaji. Sasa uweke hela nyingi za kukopesha bongo wakati wakopaji serious hamna na mazingira ya biashara ni magumu.
Duuh Tanzania bado sana
 
Promo ndio Kila kitu
Promo huku unafanya Promo bila utendaji mwisho wa siku hakuna kitu unless Promo nayo ni ulaji...

He is not deceived who knows himself to be deceived...

Nadhani hili andiko halina promo zaidi ya Taarifa kwa Waziri kukutana na NMB
 
Back
Top Bottom