johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,401
- 144,802
Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi.
Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya sekondari umbwe mkoani Kilimanjaro.
Source: ITV habari