Benki: Hesabu pesa zako kabla hujaondoka hapa

Kma wewe ulivyoongoza na huyo kwenye avatar yako hahahahhahahahaha (jokes)
mkuu unatakiwa kuhesabu fedha zako mwenyewe kabla ya kuondoka kaunta.. Kama unaona unaenda kutoa pesa nyingi ni afadhali uongozane na mtu unaemuamini akusaidie kuhesabu.. Hii yote ni kuondoa utata..
 
Hela ni yako, ni jasho lako, hesabia mwenyewe hata kama ni siku nzima. Usimwamin mtu/wala mashine hata siku 1. hata huyo uliemkomalia ulimuonea tu ungehesabia mwenyewe. kama kakubambika au pungufu mnakabana palepale. Akihesabia cashier upo unajitengenezea mazingira ya kudhulumiwa.
 
Nime withdraw kiasi cha pesa kinachozidi ml, 5. Namwomba bank taller anihesabie ilinithibitishe kama ziko sawa, ananijibu, huoni watu walivyojaa hapa then unataka nipoteze muda kukuhesabia pesa zako, kaa pembeni uhesabu wapishe wenzako wapate Huduma.

Nilihuzunika sana sikuondoka nikakomaa hadi mlinzi akaja akamaliza ubishi akamwambia muhesabie tu.

Hoja hapa ni kwamba yeye anatumia muda mfupi sana kuhesabu kwa mashine, iweje Mimi nisimame pembeni ya cub kwa muda mrefu kuhesabu wakati machine ipo?

Naomba nikosolewe kama nilikosea.

hao watu wanaujanja wa kipuuzi,wanafanya hivyo ili wakuibie.me mwenyewe juzi wameniibia hela kwa style hiyohiyo.
 
Nipo mkuu shughuli zimenikamata ile mbaya yaani kuingia huku ni kwa kubeep kama sina shuguli nyinngi si unajua mwanzo wa mwaka ni vyema tutafute sana

mmhm kkwanini humuamini mwanamke?

Haya tafuta ukipata basi ulete tugawane lol.. Si unajua kizuri kula na wenzio..
ladyfurahia mwanamke akishaona pesa mikononi mwa mwanaume ni shida.. Akipiga kirungu kikadunda ni lawama kwenda mbele maana ameshaona pesa halafu umuambie huna.. Au kuna shida nyingine ambayo inabidi ikatatuliwe..
 
Last edited by a moderator:
Hili tatizo la kuhesabu fedha halitoisha mpaka serikali i print note ya laki moja at least hapo ndo tutakuwa na imani.

Jioni njema
 
Ulukuwa sahihi

Huyo teller sio mzima.

Kuhesabiwa na kujiridhisha ni haki yako...ukubwa wa foleni sio jambo lako halikuhusu...kama waliona foleni kubwa waajiri watu zaidi
 
Hahahahahah shem jamani kwahiyo wewe huwezi kumuamini mkeo au mwanamke kwa jambo hilo la pesa hahahahahahahhahahahaaaaaaaaa

ila si wanawake wote wako hivyo bestito wakiona hela roho zinawatoka ni wachache tu mbona mm
haya tafuta ukipata basi ulete tugawane lol.. Si unajua kizuri kula na wenzio..
ladyfurahia mwanamke akishaona pesa mikononi mwa mwanaume ni shida.. Akipiga kirungu kikadunda ni lawama kwenda mbele maana ameshaona pesa halafu umuambie huna.. Au kuna shida nyingine ambayo inabidi ikatatuliwe..
 
Ulikuwa upo sahihi. Lakini issue sio kuona mashine ikicount pesa yako tu na kuangalia idadi ya noti bali unatakiwa uielewe specifications & settings za hiyo mashine teller anapotaka kuanza kuingiza hela kwenye mashine!
Mathalani teller anaweza omit option ya size kwenye mashine na hatimae ukajikuta kwenye bundle la notes za sh 10000 zimo na sh2000 denominations! Au sometimes anaweza asiweke option ya " detection so fake notes zitapita kwenye mashine kama kawaida.
Guys muwe makini mnapikuwa counter.
Angalizo: ukitaka kujifunza vzr ufanyajikazi wa mashine muulize teller atakuelekeza bila tatizo.
 
Ulikuwa sahihi kabisa. Nadhani umefika muda wa kuwa na machine ya kuhesabia pesa na upande wa mteja, ingawaje mara nyingi huwa tuna-share machine ya teller!!
Ila mwisho wa siku hiyo hiyo mashine mnayo-share na teller unapopewa ela zako unatakiwa uhakikishe tena kwani teller yeye tayari zile hela zimeshahesabiwa zipo kwenye bundle hivyo anachofanya ni kuhakikisha kama bundle lipo mwake tofauti na wewe unapozipata (hata hivyo 5 m kwa bank zingine si unaingia chamber)
 
Kuhesabu hela nyingi hadharani ni hatari kwa maiaha yako, ikiwwzekana zihamishe hukohuko benk ziende kwa huyo unayetaka kumlipa
 
Hahahahahah shem jamani kwahiyo wewe huwezi kumuamini mkeo au mwanamke kwa jambo hilo la pesa hahahahahahahhahahahaaaaaaaaa

ila si wanawake wote wako hivyo bestito wakiona hela roho zinawatoka ni wachache tu mbona mm

Ninamuamini sasa mke wangu.. Ila katika mazingira fulani hivi inabidi nitengeneze mazingira ya kutotengeneza ugomvi.. Njia moja ni hiyo ladyfurahia..

Unasema wewe huna tatizo hilo..?
 
Last edited by a moderator:
Nime withdraw kiasi cha pesa kinachozidi ml, 5. Namwomba bank taller anihesabie ilinithibitishe kama ziko sawa, ananijibu, huoni watu walivyojaa hapa then unataka nipoteze muda kukuhesabia pesa zako, kaa pembeni uhesabu wapishe wenzako wapate Huduma.

Nilihuzunika sana sikuondoka nikakomaa hadi mlinzi akaja akamaliza ubishi akamwambia muhesabie tu.

Hoja hapa ni kwamba yeye anatumia muda mfupi sana kuhesabu kwa mashine, iweje Mimi nisimame pembeni ya cub kwa muda mrefu kuhesabu wakati machine ipo?

Naomba nikosolewe kama nilikosea.
Good sana, ungejaribu kusogea pembeni unahesabu akamhudumia mtu mwingine ingekula kwako, ingekosekana hata buku wasingekupuka angekuambia umeichukua wakati anamhudumia mwingine. Umefanya vizuri
 
yani mm sina tatizo hilo sijui kwasababu nashika sana hela ndo maana naona ni kawaida tu

halafu ni vyema umuamini mkeo hata kwenye hela pia kwani usipomuamini kwa jambo hilo utamsababishia
mwenzio kuwa maswali na kuona kuwa una matatizo kwake

ila mm hata ukiniwekea hela mezani kama hujaniambia ni ya matumizi gani basi utaikuta hapohapo mpaka urudi bestito hahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ninamuamini sasa mke wangu.. Ila katika mazingira fulani hivi inabidi nitengeneze mazingira ya kutotengeneza ugomvi.. Njia moja ni hiyo ladyfurahia..

Unasema wewe huna tatizo hilo..?
 
ila mm hata ukiniwekea hela mezani kama hujaniambia ni ya matumizi gani basi utaikuta hapohapo mpaka urudi bestito hahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kwani unafikiri mnazichukuaga ladyfurahia..? Kinachotokea ni kwamba kwa vile umeshaona hela pale ukisema shida yako ya hela unategemea kupata kwa kuwa tu umeziona pale.. Ukinyimwa au kuambiwa kuna matumizi mengine ya pesa kwako sasa ndo inakuwa shida.. Tofauti na kama usingeziona ungeridhika tu kuambiwa hela hamna..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu inachukuwa muda sana kama umetoa pesa nyingi kidogo,teller akikuhesabia inakuwa rahisi na unadhibitisha kwa kuangalia namba kwenye mashine ya kuhesabia, otherwise wazo la kuongozana na mtu unaemwamini ni poa.
sawa lkn machine nayo inadanganya
kwani inakupa idadi ya karatasi za noti tu haitofautishi km ni 10,000 au ni 2,000
jamaa kavimba karudisha bulungutu lilohesabiwa na mashine kasea! mbona ndani kuna 2,000 mbilizinganywa
computer au mashine unaweza zirekebisha zikaiba hasa kitu ni UAMINIFU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom