Benki gani ni bora?

Kitope

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
236
58
Heshima wakuu,
Nimekaa nikijiuliza katika kuhangaika kwangu kama kuna benki iliyo bora ama yenye uafadhali katika kutoa Service kwa wateja ikiwemo na
1. Huduma nzuri kwa wateja hata wale akina sisi tusio na matrilioni
2. Reasonable intrest rates
3. Shares zenye manufaiko
4. Ina offer International transactions at cheaper rates
4. Kutokusumbuliwa katika uzungushaji wa fedha zako mwenyewe na sio mikopo yao.
5. Good investments consultancy
6. Na mengineyo

Dah, sina budi kutanguliza shukrani zangu kwa wote mtakao nichangia kwa hili.
Shukrani,
Kitope.
 
Sio Barclays, pse.
Usipoteze mda wako na hawa watu, labda kama unataka kukopa alafu kuingia mitini
 
Mliojibu CBA ama Diamond trust toeni vigezo kwa mujibu wa muulizaji................mtatusaidia sana
 
heshima wakuu,
nimekaa nikijiuliza katika kuhangaika kwangu kama kuna benki iliyo bora ama yenye uafadhali katika kutoa service kwa wateja ikiwemo na
1. Huduma nzuri kwa wateja hata wale akina sisi tusio na matrilioni
2. Reasonable intrest rates
3. Shares zenye manufaiko
4. Ina offer international transactions at cheaper rates
4. Kutokusumbuliwa katika uzungushaji wa fedha zako mwenyewe na sio mikopo yao.
5. Good investments consultancy
6. Na mengineyo

dah, sina budi kutanguliza shukrani zangu kwa wote mtakao nichangia kwa hili.
Shukrani,
kitope.


nbc
1. Kwanza ina mtandao mkubwa wa atm kuliko zote- tembelea miji yote mikubwa na midogo utathibitisha
2. Ina mtandao mkubwa wa matawi nchi nzima- sio benki hizi za dar, mwanza na arusha tu achana nazo
3. Ina debit master card (atm card) inayoingia atm yoyote duniani iliyo na mastercard
4. Mastercard yake inatumika kufanya malipo kwenya maduka, supermarkets n.k
5. Ni global bank ina link na benki kubwa za sauz na uk- so international transaction ni kama kutoa fedha mfuko wa kulia na kuziweka mfuko wa kushoto
6. Baadae nitakutajia faida nyingine nyingi za kubenki na nbc
 
Siamini kama kuna bank nzuri duniani (labda hizo za Kiislam kama kweli hazitozi riba) ila bank zote zinataka faida ikiwemo kuiba akiba yako kwa kuitoza charges mbali mbali....labda kama unaongelea uzuri wa majengo na ma-teller!
 
Siamini kama kuna bank nzuri duniani (labda hizo za Kiislam kama kweli hazitozi riba) ila bank zote zinataka faida ikiwemo kuiba akiba yako kwa kuitoza charges mbali mbali....labda kama unaongelea uzuri wa majengo na ma-teller!

Benking ni biashara kama baishara zingine lazima watengeneze faida, na kama uki over draft lazima wakuchanje cha juu. sema tu benki moja zaidi ya nyingine lakini usitegemee kwamba itakuwa free of charges
 
Nimeanza kufunuka macho sasa, maana nilikuwa kizani kabisaaa
 
Banc ABC ni wazuri sana hawana longolongo, wanatoa mikopo pasipo kuzungushwa kama ACCESS Bank ama CRDB
 
Pia Benki ya Wanawake haina kuzungushana, unaanzia kiwango cha kufungua akaunti sh. 3,000/=
 
Barclays.......unakopa halafu hulipi...

Mimi mkulima nisingependa kujitengenezea sifa za kuishi bila amani, nakula kwa jasho langu, na kidogo nilichonacho nimeridhika nacho mkuu. Na uhuni mwingine hauna hata maana.
 
sasa nyinyi mnahangaika ni nn shida? Mm naona kibubu, au kama pesa zako zinzweza kujaa chumba, chimba nyumba weka. Maana hapo hakuna mlolongo wowote wala makaratasi, huko kote lazima upange foleni na magumashi kibao.
 
Back
Top Bottom