Benjamin Mkapa Aids Foundation wanalipaje mishahara?

Rorya

Member
Jan 17, 2011
14
2
Habari wadau, nimeona BMAF wanatafuta Fin manager, naona kua nimequalify ila najishauri maana sina idea wanalipaje mishahara. Je kuna incentives nyingine? Kuna anayejua afunguke. Itasaidia kufanya maamuzi

natanguliza shukrani
 
Hv mjue sio kila cha kuulza, ww kama umefuzu siuende hukohuko ukawaulze
 
maswali gani haya.... kawaulize mwenyewe

salary and benefit iko ki-individual zaidi
 
Nina rafiki yupo hapo aliniambia wanalipa vizuri na wanalipa kwa Dollars not Tshs
kitambo kidogo lkn tangu nimeoanana nae. sijui sa hivi mambo yakoje hapo
 
Habari wadau, nimeona BMAF wanatafuta Fin manager, naona kua nimequalify ila najishauri maana sina idea wanalipaje mishahara. Je kuna incentives nyingine? Kuna anayejua afunguke. Itasaidia kufanya maamuzi

natanguliza shukrani
Navyojua mishahara yao wanalipa kwa kutumia benki labda kama una swali jingine zamani mishahara walikua wanalipia dirishani kwa mhasibu siku hizi wamebadilika kidogo
 
Namna wanavyolipa.
1. Kwanza watahitaji uwapelekee account number yako ya Benki na Majina yako kamili(Nina uhakika)
2. Mshahara wanatoa mara moja kwa mwezi na ni mwishoni mwa mwezi(Nina uhakika)
3. Kuhusu incentive nyingine sina uhakika nadhani watakueleza kwenye mkataba wa ajira
 
Nimezipenda hizo ambazo una hakika nazo, hii ndo JF maswali yamejibiwa kkikamilifu
 
Jamani, mtu anapouliza basi mjibu lakini hapa watu wanazani ukisema mshahara sijui watakuja kuchukua kazi yako au kukukopa sana.Bahati mbaya mimi sijui lakini ningekupa majibu ya hoja zako.
 
Jamani watu mbona mna roho za korosho, si mumjibu tu mwenzenu? Kuna mtu siku hizi anaandika barua ya kutafuta kazi bila kujua huko maslahi yapoje? Wanalipa vizuri apply.
 
Tometofautiana fikra! Lkn ni sahihi kujua maslahi ya mahali ili kukurahisishia kufanya uamuzi sahihi napia kuwa na wigo mpana wa kujadili maslahi yako pindi ukibahatika kuitwa kwenye usahili au mchakato mzima wa ajira!
 
Navyojua mishahara yao wanalipa kwa kutumia benki labda kama una swali jingine zamani mishahara walikua wanalipia dirishani kwa mhasibu siku hizi wamebadilika kidogo
<br />
<br />

Dah aise u have jus made ma day,mana ni saa 6 ucku saiv hakuna umeme kwetu na gari haina mafuta sijui kma ntapata mafuta kesho na huu mgomo! So nlikua nimenuna kwel kwel ila bada ya kusoma comment yako nimecheka sana ngoja nizime mshumaa nilale kwa amani sasa!
 
Pole sana kwa majibu ambayo naamini bado hayajakuridhisha. Ushauri wangu ni kuwa omba likizo au off ya muda mfupi nenda kwenye hizo training angalia maslahi ndo utoe maamuzi kabla hujaandika barua ya kuresign. unaweza kufika kule ukakuta salary haieleweki itakuwa ngumu sana kwako na kurudi hauitawezekana.

Be blessed always.
 
huyu hata hajaomba then unamwambie aombe likizo aende wapi?
 
Habari wadau, nimeona BMAF wanatafuta Fin manager, naona kua nimequalify ila najishauri maana sina idea wanalipaje mishahara. Je kuna incentives nyingine? Kuna anayejua afunguke. Itasaidia kufanya maamuzi

natanguliza shukrani

wewe thamani yako shilingi ngapi? hapo ulipo bila shaka una ACCA, CPA, MBA, ETC bado unataka kujua wanalipaje! kawaambie unachotaka wewe ili uende kule, hivi vitu vinakuwa wazi kwenye usaili, Ila kama uliko sasa hakieleweki then huitaji kujua wanalipaje, unatakiwa uombe kazi na usali ili uipate hata kama itakuwa inalipa kidogo.
 
Back
Top Bottom