Benchika kocha jina, muda utaongea

Ukilinganisha takwimu za kocha objective na huyu Benchika za mr objective ni nzuri kuliko za huyu.

Najua mtakuja na mapovu ila muda utaongea
Huwezi kumpa kocha yale magarasa ukategemea matokeo mazuri. Roberinho alikuwa na forward ya Baleke na General Phiri back up ikiwa ni Boko, katikati na pembeni wakawepo Chama na Ntiba kabla umri haujawatupa mkono. Leo Par na Fred ndo forward za kutegemewa hadi kocha analazimika kuchezesha fake 9 kuficha madhaifu.
 
Huyu kocha imetokea tu wana Simba kumpenda ndio maana hakuna anayefikiria swala la mbinu, ufundi, au upangaji wa kikosi bali lawama zinamuangukia Mangungu na Try again. Ila ukiangalia Simba ya misimu kadhaa nyuma ilikuwa sio bora ila makocha waliweza kutembea nayo kwa mbunu.
Robertinho kacheza na wachezaji hao hao wa kikosini na akaweza kuwabana ipasavyo Al Ahly. Robertinho kaondolewa sio kwa takwimu bali aina ya mpira na kufungwa na Yanga goli nyingi. Benchikha katupa taulo mapema kabisa.
 
jamaa ana kismat
 
Pamoja na Benchichak kua hana mbinu pia wachezaji wa Simba wanachagua mechi, Simba iliyo cheza jana sio sawa iliyo cheza mechi za CAF sasa sijui ni mgomo au kuna nini
 
Mfukuzeni na huyo si mnadhani tatizo ni kocha haya mfukuzeni kama mlivyowatimua BAREKE NA PHIRI hadi mje mjue shida ipo wapi mtakua mshaanza kuota mvi kichwani.
 
Ukilinganisha takwimu za kocha objective na huyu Benchika za mr objective ni nzuri kuliko za huyu.

Najua mtakuja na mapovu ila muda utaongea
Shida sio kocha ila viongozi janja janja wa Simba wametuaminisha hvyo!!!!!
Tumeshatimua makocha wangapi???
 
Ukilinganisha takwimu za kocha objective na huyu Benchika za mr objective ni nzuri kuliko za huyu.

Najua mtakuja na mapovu ila muda utaongea
Kocha mzuri, timu isajili watu wa maana. Simba hakuna wainga wa maana, Washambuliaji ndiyo hovyo kabisa, viungo Washambuliaji anayejitahidi Chama, Viungo wengine tia maji tia maji. Michezaji haina kasi, jamani hiyo Simba yenu inatakiwa kujengwa upya. Mpira hauhitaji siasa. Yanga kila msimu wanaimarisha kikosi tena Kwa wachezaji wazuri.
 
Walichofanya 5imba ni kufunga injini ya Sacania kwenye Bajaj.

Wanakocha mzuri, ila hawajampa resources,
mkimlaumu mnamuonea.
 
Mechi za CAF zipi, hizi ambazo waarabu wamewapiga mbele na nyuma?
Nyie ndio mnafanya Manara aonekane mkweli kuhusu JK na baba yake, kwa hiyo wewe mechi ya CAF umeona dhidi ya Al Ahly tu? ya Wydad, Asec na Jwaneng hukutazama ndugu Mwakarobo first year class of 2024?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom