Benard Membe ni nani? Kuna anayemjua zaidi?

Akiwa TISS yeye ndiye aliyefuatilia ile issue ya Mke wa Mzee Kitine kwenda kutibiwa nje ya nchi kwa Mamilioni ! ni KACHERO mzuri sana lakini ninapata shida sana na utendaji wake katika siasa maana hizi TISS na SIASA haviendani kabisaaa !
.

kama wewe sio TISS unajuaje kuwa ni kachero mahiri wakati kazi zao ni siri? ya Kitine pekee ilikuwa wazi haitoshi kumpa Membe kuwa kachero mzuri. Twambie mengine aliyoifanya TISS na taifa kama hutajali kwani naamini majukumu ya TISS hayako wazi kiasi hicho wewe ulipata wapi?
 
Membe apimwe kwa kigezo chake cha kuwa mwanasiasa ya kule alikotoka TISS tutakuwa tunadanganyana kwani hayako wazi na wala tukiyaomba kuyajua hatutapewa. ndio mwanzo wa kudanganywa kuwa ni kachero mzuri kumbe alikuwa kituko.
 
..alikuwa ubalozini Canada wakati Col.Dr.Hassy Kitine akifanya "majanja" yake.

..suala hilo lilipofika bungeni, wakati Membe ameshakuwa mbunge, ndipo akaibuka na ushahidi aliokuwa ameupata akiwa afisa balozi.

..ukiangalia kwa undani zaidi, yote ile ilikuwa ni mbinu za kisiasa za wanamtandao kummliaza Col.Dr.Kitine ambaye inasemekana alikuwa anaandaliwa kumrithi Mkapa.

..kama Membe alikuwa mzalendo wa kweli basi angelipua kashfa ile tangu akiwa bado ni Afisa Ubalozi na Col.Dr.Kitine ni mkuu wa mkoa wa Tanga.
 
Bernard Membe - Human being

Kingdom: Animalia
Phylum: Chordata
Subphylum: Vertebrata
Class: Mammalia
Subclass: Theria
Infraclass: Eutheria
Order: Primates
Suborder: Anthropoidea
Superfamily: Hominoidea
Family: Hominidae
Genus: Homo
Species: sapiens
 
Huyu mtu anatajwa kuwa huenda akawa rais 2015 katika kujiaminisha kuwa ni mtu anaye faa hebu tuanze kukusanya maoni kutoka kona zote za nchi kwa wana JF wazalendo.

Mkuu,huyu BM kakulipa shilingi ngapi kwa hii pilot study??
 
..alikuwa ubalozini Canada wakati Col.Dr.Hassy Kitine akifanya "majanja" yake.

..suala hilo lilipofika bungeni, wakati Membe ameshakuwa mbunge, ndipo akaibuka na ushahidi aliokuwa ameupata akiwa afisa balozi.

..ukiangalia kwa undani zaidi, yote ile ilikuwa ni mbinu za kisiasa za wanamtandao kummliaza Col.Dr.Kitine ambaye inasemekana alikuwa anaandaliwa kumrithi Mkapa.

..kama Membe alikuwa mzalendo wa kweli basi angelipua kashfa ile tangu akiwa bado ni Afisa Ubalozi na Col.Dr.Kitine ni mkuu wa mkoa wa Tanga.

Hivi wangapi walikuwa wanaandaliwa?Alitajwa sana Ngwilizi,lakini yule mzee hata fomu yenyewe hakuchukua.Inawezekana Kitine alikuwa na mtu wake au kambi yake against mtandao,lakini yeye as yeye,sidhani
 
Ukimwangalia kwa makini kama anafanana na swaiba yake JK tangu physical appearance hadi behaviour and way of conduct.
 
Bernard Membe - Human being

Kingdom: Animalia
Phylum: Chordata
Subphylum: Vertebrata
Class: Mammalia
Subclass: Theria
Infraclass: Eutheria
Order: Primates
Suborder: Anthropoidea
Superfamily: Hominoidea
Family: Hominidae
Genus: Homo
Species: sapiens

1.Mitochondrion is a cell within a cell.Explain-10marks
2.Draw a well labelled diagram of euglena-5marks
3.Is virus a living or non living organism?Why?5marks
4.Why bat is classified as a mammal?5marks

Ilikuwa raha sana Biology O'level!
 
Huyu mtu anatajwa kuwa huenda akawa rais 2015 katika kujiaminisha kuwa ni mtu anaye faa hebu tuanze kukusanya maoni kutoka kona zote za nchi kwa wana JF wazalendo.

Ni waziri wa kusafiri nje ya Tz. kama kweli anataka urais wa Tz basi hizi safari zimeshamchosha anataka kustaafu ili abaki ndani ya TZ.
 
Mwaka jana amewezesha mashekhe kutoka kata zote za jimbo lake la Mtama kwenda kuhiji Mecca, pia viongozi wa dini ya kikristo kwenda kuhiji Jerusalem

aliwawezesha - wakati uliopita
amewezesha - wakati uliopo
 
Bernard Membe - Human being

Kingdom: Animalia
Phylum: Chordata
Subphylum: Vertebrata
Class: Mammalia
Subclass: Theria
Infraclass: Eutheria
Order: Primates
Suborder: Anthropoidea
Superfamily: Hominoidea
Family: Hominidae
Genus: Homo
Species: sapiens
Aiseee
 
Back
Top Bottom